kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dizo man - hip hop arusha كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
dizo man
a_town
arusha

[verse 1]
wananiita dizo man
kimuziki mi ni mkali, ‘sitabiriki kama dua la [albadir]
promota nipe deal
nioneshe hip_hop real
bongo fleva wana k!ll
wanaimba mapenzi wakati ukimwi un_z_di kuwa k!ll
usilete vita kali ya laiyon na morani
bongo fleva ndio laiyon, hip_hop ndio morani
a_town nnapoishi bado niko feel
sio kwa stimu za majani
nnavyo koki sikukosi
sikamatiki, sishkiki
sing’oleki, sijisifu
ngalimited mpaka mianzi
weka ‘wanted
weka ‘wanted
what? (what?)

[chorus]
hip_hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip_hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
[verse 2]
machizi w_ngu, wanangu
najifunza [? batu]
jumatatu, mi na kanyaga soli ya kiatu
cheka na watu ’ili upate utu
usipo cheka, watakuona chatu ama roho kutu
panga butu halikati kitu
mi nnasonga nitapata kitu
niko msitu nashika mtutu
natema sumu
nilikuwa mfungwa kwa sasa nipo huru
juk_mu langu kutembea taratibu
nisije nikawa bubu
eh, mungu nirehemu nimiliki albamu
safari hii ya hip_hop nizidi kuwa nayo mpaka pale itapofika
itapofika
what?

[post_chorus]
hip_hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip_hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip_hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip_hop arusha, _sha, _sha
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip_hop arusha, _sha, _sha
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip_hop arusha
mikono juu, _juu, _juu
mikono juu, _juu, _juu
mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha, _sha, _sha
underground wakilisha, _sha, _sha
hip_hop arusha

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...