dizasta vina - nobody is safe 5 كلمات الأغنية
so hii kalamu ikisimama na kuanza kutupa wino
watoto utasikia “mom look superhero”
sivunji bars na_storm out, like i’m the one
who let the dogs out, scofield navuka wigo
alafu na_fly far (shuu)
aftermath natoa salamu kwa survivors
ukoo wa mbuzi unawapa high five, niko busy na mkwanja
na ndio maana sionekani viwanja ka’ vile sikai dar
game kazi siku hizi mama anafahamu
ala tamu inaongea alama, binadamu
niko salama natoa salamu bila damu
kwa kipaza nasambaza karama ya hii kalamu
sikutaka kutoka niliingia chaka
nikatulia nikaisoma dunia utafikiria nasa
nikawa fear factor, nikashika njia
wabia wakanihofia kama wanavyoihofia cancer
hii ni beyond your high definition
naona mbali utadhania tai, hii vision
ni ya kutafuta material sikai ili nilishwe
moves kama spy kwenye mission ni__er
badili spana hii ni volvo
walifunga mageti kwa maana ligi ndogo
leta paper kubwa mchizi nachana si kitoto
mi ni nyoko waulize wagaga_gigi_koko
waliokuwa hawakomi wanakoma
walikuwa vipofu hawakuona navyochoma
homa, nikitua kwenye mwili huwa ni joto
vyuoni ka’ dodoma na sua wananisoma
na huu ni wimbo kwa ma_hustler
walio_focus kwa maana flow ni za kimasta
na_flip topic utadhani flip mode busta
rhymes utahisi bro langa
eyo eyo kwa insha na methali
nawazika ka ujamaa ulivyozikwa na ubepari
nishachoka na uongo so nafoka mpaka mtondogoo
kwa world class protocal, internationally
sina big team, nina big pen brother
niki_grip unaweza sema slim shady kaja
achana na kids hawa sixth grade rappers
kisha pick me dizasta mi’ ni 50 shades darker
hizi tenzi ni pure, niko real toka enzi nakua
nili_rap kabla mapenzi sijajua
kwenye game wanavyoenzi majuha
wana track mbovu na wanafanya media tours
now i’m mad (really mad), sitaki hoji what next
ni_focus kwenye page za kishost na kuvex? nah
sipigi mbonji niko resi kama race car si_dodge dodge
wala siweki emoji kwenye text
jina vina na kazi ni mistari
maisha yangu hadithi jamaa hii ndo’ dibaji
nawakilisha machizi ambao vichwa ni madini
sifanyi masaji nafanya mauaji ya kimbali
ona nawazidi nguvu wanahisi labda juju
k_mbe ni sk!lls fulani new new
iwe kung fu ama wushu j_po sio new school
bado logo ni classic kama fubu
panorama kitambo bado sugu
ndugu watachanga michango ukijitusu
nitakushangaa ukija bila plan kwenye battle
maana unahitaji kiw_ngo na mipango kunimudu
nimeshiba contents cheki youtube
nina material priceless kwenye fuvu
j_po wan_z_ba ili nisi_trend kama dudu
sizifuati trend, trend na_create kama mungu
niko shega bro
g_nius ni understatement half man half god paradox
niite vina just for lack of the better words
literally, yet metaphorically undebatable
huwezi ‘amini mambo ambayo ubongo una_solve
i;ve been tested couple of times madokta wanahofu
linapotajwa jina langu marapa wanatokwa na povu
mi ni ndovu walisha_approve ngosha na prof
natia chata kwenye list ya ma_veteran
tunaopamba beat kama binti mwenye pete yaani
chagua jumba la sanaa uchukue kiti uketi ndani
au uendelee ku_search role model wako anam_date nani
top tiers wako hawafai kwenye hii selection
kutafsiri inahitaji classes na deep sessions
dunia ilianzaje? ukifa unaenda wapi?
sijui yai sijui kuku you know, that kind of big questions
i’m a street legend haisumbui sana
kutambua maana sideki ka’ simjui mama
kamuulizeni mr. kuvichaka atawaambia
nishakula vichaka utadhania mbuzi kaja
najua nitakuwa star that’s not my major dream
stardom is for little kids legacy’s the better thing
nataka kuwa rapman next to ringle beatz spiderman
and panorama is the avenger team
wasakatonge tuko fiti hatulei mboga
na size ya bendi ni big everyday ngoma
bado mistari ni mingi haienei folder
dizasta vina si michael b ni michael a jordan
kipindi sina deal street nishatukanwa nika_chill
nikawa focus inaitwa stamala
mbishi nang’ang’ana siishi kwa mama
popote yalipo mamkwanja ya k_mwaga naishi mkabara
nachekecha mamkwanja baada ya kutw_nga na
kupepeta hasira ka’ ndo’ naanza k_mbe star
nimefika kwa movie hii…
nina fan base bila mchomvu na b tw_ngala
kuna wana walijaribu kuwa mimi yoo
yaani kuwa off the stream and yet clinical
walicopy flows instruments na video
walinikuta wakaja wakaondoka ka’ menstrual period
mi’ sio budha budah
i look friendly ndio maana marapa wanakujakuja
wananizoea kiboya naishia kuwafunza lugha
ningewafundisha kuongea na wake zao ila nachunga muda
label zinawapiga mitungo hatuongei
verse lundo mf_ko bei
niliwaheshimu sana wadau, mkaja mkasema hailipi
mkaendekeza kiki alafu mkaja mkampa tuzo ney
mashabiki nao wanadisi kwanini sionekani
wakati kila zinapotajwa list huwa sikosekani
labda kwakuwa sisifii s_x na pombe kali
wengine wanasema i’m the missing piece ya kikosi kazi
adimu kama mythical creature
lyrical teacher naacha kesi ya criminal kisha
napotea kwenye surface siachi physical feature
naacha history na elimu kwa every critical thinker
كلمات أغنية عشوائية
- cash roseanne - i was watching you كلمات الأغنية
- cash roseanne - black cadillac كلمات الأغنية
- j wess project - luv ya كلمات الأغنية
- jimmy page - this sporting life كلمات الأغنية
- hayden - take a aprt of me كلمات الأغنية
- casey donovan - symphony of life (performed live on idol) كلمات الأغنية
- the little mermaid - part of that world كلمات الأغنية
- jimmy ray who wants to know - who wants to know كلمات الأغنية
- the little mermaid - daring to dance كلمات الأغنية
- the little mermaid - at the mermaid's ball كلمات الأغنية