kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dizasta vina - nobody is safe 4 كلمات الأغنية

Loading...

somebody gotta die today

(ringle this one’s classic men)

ah! haters, haters
nimekuja kuwapa msongo wa mawazo, mi’ ni pay cut
nilikotoka bingwa, ila jamii imeshiba sana ujinga
that’s the reason i’m not famous

haters, haters
nimekuja na uthibitisho your favorite rapper is lame ass
an orthrodox delivery, since way back
kama k_dot, look my bar game is a_plus

u’shasikia kua maemcee wanatisha sana (waongo)
nilipofika walifikiria kuhama (bongo)
logo ni chafu, mgongo na mbavu
mbombo ni ngafu napotingisha alichonipa mama (ubongo)

i eat people
nyoko kila ukinifata ume_beep kifo
wanamaabara walinikata nika_bleed vito
infinite sign sifiki mwisho ndo’ naanza

uh! na huu ni mfano wa magroup saba ya wezi
nyoko hata ukiwa sugu hapa hauchezi
waulize makada natema ngumu sana haumezi
utaishia kuomba msaada kwa mungu baba mwenyezi. bless
ah
eyoo sicheki na wapuuzi
nipo og emcee si_dress na mapuli
kesi ni ya shakespeare, tеnzi mia, bongo mpaka ug
emcees hawanipendi kama nduli

nasimama kama eiffel tower naangaza jiji
ambalo nipo tangu ma_star wa bongo hawajaanza kiki
kabla vimbеlembele hawajaenda nyuma
nika_lay low bendera ya chuma mlingoti wa chuma, mi ni zigi

ninayeficha stimu mtaani wananijua kama mshindi
sauti ya mamlaka napoamua hawapingi
kama anavyoamua mdingi kwenye vikao vya dharura
imesheheni medulla, vingi navijua na siringi jamaa

kikatili ninapoisafiri mento
ni mfano wa jangili waliemkabidhi beto
wanabadili nyenzo, napojadili angles tofauti
kama nabii jinsi nnavyoitabiri kesho

ah, sijui mwisho ila najua niende wapi
mtaa umeniita wito niitike niitende kazi
nakomaa sio simple, licha ya kusemwa na wasengenyaji
nageuka kifo, idea inayofanya mkakeshe church
ah! asili kama masai na lubega
wastani wa sukari unaofanya chai inapendeza
sauti ya umma natangaza rai naeleweka
naishi uswazi ila natema yai kama vegan

ma_code ya ki_programmer, nani wa ku_compare
ball player nadondosha record pro kama
nba athlete, level soo sana
controversial kama september eleven na osama

ah, sina makuzi ya kubuni vyama
sivumi kama trending za leo, emcee naishi future
ila nna maufundi tangu jana
napitwa na upuuzi maana maufundi yamejazana

bahati mbaya yamezibwa, wanadhani ni adimu
madini yamefanywa siri kama marking scheme
nami sipigi magoti sizitaki hizi team
nachotaka ni mishkaki na ndimu

nirumangie ma_emcee maana sijala tangu juzi nina njaa kali
ninalea wanafunzi na madaftari yao
wanageuka wakufunzi kwenye mahafali
kichwa kimetapakaa books kama library

style yangu ime_inspire the culture
ime inspire the nengos, the shaulin(s), the nachas
the boshoos, the k!llers, the maarifa, the rapchas
nimeacha dna hata nikidanja sina deni tena
master… ah, na_move ka’ cobra
simba wa teranga alafu nina nguvu zaidi ya drogba
natengeneza pesa kwa ufundi niliojenga bure
mtaani naishi kiswazi utadhani sijaenda shule

my game plan is a mystery, kama aliyemteka mo
na_change gear from hero to superhero
from defense to stiker mode
see, now you see me, now you don’t, pick a boo
my pen game (is) impeccable

forget the rest i’m a true rival
mnaimba matusi sana kwa maana bongo zenu ni too idle
my next bar is a cheat code no, my last bar is the cheat code
every bar is too vital

tulia mwaya hapa wabaya wana_worship
ni vile wanaona haya ku_report kwamba wanataka_retire
siwezi kwenda sawa na wanaizaya wanaonigwayagwaya
huku wana_inspire gossip

sound amplified and so the message
look, street verified legend (and) no crown on my head
ask around i be claimed by the crown
king of undergroud literally i’m down to the earth

shuhudia master kazini
amesimamisha kichwa kinamwaga madini
amekuja na mada ya kufunga chapter makini
halafu yuko huru dhidi ya siasa na dini

emcee nimeketi mahala ukweli umesimama
kwa kina kirefu meli zilizosheheni zinazama
nimejificha ka’ kibabu cha imani
moyoni sina hila nimezika vitabu kichwani

panorama taifa langu
nimeketi soldier, verse moja
nashusha flows za aina tatu
na_change styles ka’ zinazompa faida changu
mi ni toleo la mwisho la viumbe wa aina yangu

ah, kwanzia mangloozi mpaka mwanza
naonea nyangumi na mapapa. naonea ndezi
narusha vitu kwenye anga vinapaa kwa mbawa
wakati mrushaji niko chini kama air_base

mfano wa mundu au beto
emcee mtundu kwenye mento
facts zina_shout beyond your reasonable doubt
naishi kwenye dimension ambayo miungu tu ina_settle. uh!

hii si ya kutoka chimbo hii
hii ni gene pool si ya kuita nyimbo hii
hii si ya kupiga disco hii
this one is legendary, will go down in a history

media wanaogopa nyimbo zangu kama nudity
contents zinawarudisha drawing board kama new desease
just let the game change
prof you can retire now, ‘cause the game is in my safe hands

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...