dizasta vina - miss tamaduni كلمات الأغنية
miss tamaduni lyrics
verse 1
yo! eyo, najawa na hisia
kila upepo unapopita nimeshachoka kulia
hakuna malkia aliyenishika kama huyu
wengi walikuja wakasepa
walijaa wakachuja sasa wanavuja kama necta
haihitaji kibito kuamini nampenda
nami sihitaji jicho wala denda
hanivulii kama new star, uso wa screen show
sipendi kucheza na love kama keyboard
yeah, cheki shingo ya mbuni
me napenda jinsi anavyo dress kitamaduni
nisijejuta na nadata na idara
nakenua kama mvuta aliyeona kasha la sigara
yeah, kuna majaribu na silegi
siwazi kuwa mbali walio karibu hawalengi
sahau pesa sahau kuhusu chapa na bring
vicheche jipange nipo kwenye chaka sahihi
mbishi nimefyata, unanikimbizia maduu mpaka wanahisi wananyata
ona manyoya, paka nimelowa
siku hizi nang’aa kama nimezama kwenye chaka la doa
chorus
iwe leo au kesho, utabaki kuwa special
iwapo kеsho, kwa mabishoo we commercial
miss tamaduni habari ya mjini
you’re somеone special
asili ya nyumbani ubora na wathamani
you’re someone special, you’re someone special
verse 2
sijakijua kilele
ila mapenzi kama mvua nataka kuugua milele
unatambua nagombea hifadhi
wakikuchukua nitafight kama nagombea mirathi
wameota tende waliodharau mwiba
njoo unipende mpaka nisahau shida
natafuta usilale na njaa
wambie wanyakyusa sihitaji ushauri na saha
nimepotea na sitaki tafuta dira
njoo uniweke kwenye chupa za kimila
chagua kucheza popote unapotaka
iwe winger ama forward hakuna anayekukaba
mimi na we’ kwenye raha na shida
njaa na kushiba, furaha na msiba
sikia, msimu mbichi ama mkavu njoo
hakika you’re the queen of my love show
forget the fact that i’m a super star
sinywi pombe ukinitosa me nitakufa baa
sikia vinanda sikia drum kits
uwe sawa na dizasta kwenye track
chorus
iwe leo au kesho, utabaki kuwa special
iwapo kesho, kwa mabishoo we commercial
miss tamaduni habari ya mjini
you’re someone special
asili ya nyumbani ubora na wathamani
you’re someone special, you’re someone special
كلمات أغنية عشوائية
- guytano - all we got is time كلمات الأغنية
- mike quintor - floating (feat. popswrld) كلمات الأغنية
- o.g. black - comenta y dice كلمات الأغنية
- edgar the beatmaker - lover don't wear me كلمات الأغنية
- gatopaint - luna's rebellion كلمات الأغنية
- kesi - højt oppe كلمات الأغنية
- elza soares - malandro كلمات الأغنية
- srwsn - mandragora كلمات الأغنية
- crafty mcvillain - heavy champ كلمات الأغنية
- dardan & hava - day & night كلمات الأغنية