kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

diamond platnumz - ukimuona كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
mmmh

[verse 1]
mungu aliumba dunia, mapenzi tangu na tangu
yashanipiga sasa, ‘sina budi nielewe
siwezi kung’ang’ania, ‘huenda sio fungu langu
j_po ni shida ‘ila, nitabaki mwenyewe
oh, ila’, mpe shukrani
kwa kuniumiza, [suraya]
mwambie mi bado mahututi, nauguza kidonda changu
na asisikie asilani, ‘muambie mapenzi mabaya
[?] kairuki singe tibu donda langu

[pre_chorus]
kutwa nzima, moyo unanidunda, dunda, ‘dunda
[?] nina saga rumba, ‘rumba
ah, unanidunda, dunda
sema [?] we ‘moyo
unanidunda, dunda (mami, moyo)
[?] nina saga rumba, ‘rumba (oh, mimi)
na unanidunda, dunda
eh…
ukimuona

[chorus]
ukimuona
ukimuona
ukimuona
ukimuona
ukimuona
[verse 2]
we nenda muambie marafiki, ‘marafiki wabaya
tena wengi waongo, ‘wala wasimdanganye
oh, yaani mashoga, rafiki
oh, marafiki wabaya
oh, mmmh

[verse 3]
tatizo mi bado
nilipo teleza, nikakosa ‘sipajui
mpaka akafunga virago
na akaamua kuondoka ‘sitambui
mbaya kinachoniumiza ‘maneno, neno, maneno
mara kwa ndugu, rafiki
wa nini?
yanawapa misemo
najaribu papasa, ‘huenda kwa macho ataona chochote
ila ndio kutwa, ‘mikasa
na nn_z_di kuanguka, niokote

[pre_chorus]
kutwa nzima, moyo unanidunda, dunda, ‘dunda
[?] nina saga rumba, ‘rumba
ah, unanidunda, dunda
sema [?] we ‘moyo
unanidunda, dunda (mami, moyo)
[?] nina saga rumba, ‘rumba (oh, mimi)
na unanidunda, dunda
eh…
ukimuona
[chorus]
ukimuona
ukimuona
ukimuona
ukimuona
ukimuona

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...