diamond platnumz - nikuone كلمات الأغنية
[verse 1]
hhhmm
mangapi niliona
wala sikujali
nikafumba macho
hhhmm!
na tena yaliyonchoma
maumivu makali
manyanyaso
hhhmm!
si mzima wa nafsi
siwezi kudanganya
uwepo wako
unanifanya nalia
fanya urudi basi
j-po kuntazama
oh! me mwenzako
ukweli naumia
[bridge]
kinachiniongeza kizunguzungu
hata huniwazi
kutwa nakesha nikimuomba mungu
wallah simanzi
kinachoniongeza mawazo
hata huniwazi
kutwa nakesha nikilalamika
njoo basi nikuone
[chorus]
nikuone (nikuone)
nikuone (nikuone)
nikuone (nikuone mama)
ukowapi nikuone
nikuone (nikuone)
nikuone (j-po nipone)
nikuone (niiiikuone)
[hook]
ooh na roho yangu inaenda
manjegere manjegere manjegere
aah roho yangu
manjegere manjegere manjegere
nimekuk-mbuka sana ooh!
manjegere manjegere manjegere
mwenzio roho yangu
manjegere manjegere manjegere
hata silali
[verse 2]
kutwa nzima nawaza
kisa nini darling
kama sikukupa raha
bado sijajua
namaliza naianza
nij-po tafakari
njoo uniwashie taa
kiza kitaniua
muda mwingine nakesha tuu macho
usingizi sina
ikinijiaga tu sura yako
huwa n-z-zizma
mpaka nashikwa
kigagaziko hata maneno kuyaongea
yote sababu ya masikitiko
haki ya mungu unanionea
[bridge]
kinachiniongeza kizunguzungu
hata huniwazi
kutwa nakesha nikimuomba mungu
wallah simanzi
kinachoniongeza mawazo
hata huniwazi
kutwa nakesha nikilalamika
njoo basi nikuone
[chorus]
nikuone (nikuone)
nikuone (njoo basi nikuone)
nikuone (nikuone mama)
ukowapi nikuone
nikuone (nikuone)
nikuone (eeh eeh eh nipone)
nikuone (niiiikuone)
[hook]
ooh na roho yangu inaenda
manjegere manjegere manjegere
aah roho yangu
manjegere manjegere manjegere
nimekuk-mbuka sana ooh!
manjegere manjegere manjegere
hhhm me mwenzio roho yangu
manjegere manjegere manjegere
hata silali
[outro]
niliyoyasikia ya leo
makubwa..!
afadhali ya jana
makubwa..!
huwaga naona kwa video
makubwa..!
aaah ah!
ni mazito mama
niliyoyasikia ya leo
makubwa..!
afadhali ya jana
makubwa..!
huwaga naona kwa video
ooh na roho yangu inaenda
manjegere
nimekuk-mbuka sana ooh!
manjegere manjegere manjegere
hhhm me mwenzio roho yangu
manjegere manjegere manjegere
eeeh eeh!
hata silali
كلمات أغنية عشوائية
- ksfreak - vibe كلمات الأغنية
- drew kennedy - sing this town to sleep كلمات الأغنية
- malla 100 alça - ziper da malla كلمات الأغنية
- mamii - the intro كلمات الأغنية
- exotica - des larmes sur ses disques كلمات الأغنية
- toph - asashina كلمات الأغنية
- bruno capinan - um flerte socialista كلمات الأغنية
- elanur - bela كلمات الأغنية
- umberto napolitano - il sorriso del sole كلمات الأغنية
- vasas flora och fauna - min förtvivlan كلمات الأغنية