diamond platnumz - nataka kulewaa كلمات أغنية
[intro]
am_records
ayaya yaya yaaa!
we niache niende niende, niende niende
we niache niende niende, niende niende
[verse 1]
mhhhh usiniulize kwanini, sababu utanizinguaaa
ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua
mi mwenzio sikuamini, nikajuaga vya kuzua
k_mbe mjinga ni mimi, ninaetunza wenzangu wanachukua
[pre chorus]
aaah, oooh mapenzi
mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi ya walionikuta niache niseme jina
ooh mapenzi, mapenzi yalinifanya katoto
nilie vibaya na nina mengi yamenikaa moyoni
[chorus]
lеo nataka kulewa (lewa)
mi nataka kulewa (lеwa)
nataka kulewa (lewa)
zikipanda nimwage radhi
nataka kulewa (lewa)
mi nataka kulewa (lewa)
nataka kulewa (lewa)
zikipanda nimwage radhi
ayaya yaya yaaa
we niache niende niende, niende niende
ayaya yaya yaaa
we niache niende niende, niende niende
[verse 2]
mi kwa mapenzi maskini, ‘kamvisha na pete kwa k_muoa
kukata vilimi limi vya wazushi wanafiki wanaompoonda
k_mbe mwenzangu na mimii, ni bure tu najusumbua
si tupo kama ishirini, mabuzi ving’asti wengine anawaonga
[pre chorus]
ooh mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibayaa
mie siwezi walonikuta waniache niseme jina
ooh mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, yamenijaa moyoni
[chorus]
ehhh leo nataka kulewa (lewa)
mi nataka kulewa (lewa)
nataka kulewa (lewa)
zikipanda nimwage ya radhi (tilalila)
nataka kulewa (lewa, tilalila)
mi nataka kulewa (lewa)
nataka kulewa (lewa)
zikipanda nimwage radhi
ayaya yaya yaa
we niache niende niende (kulewa kulewa)
niende niende (kulewa kulewa)
kulewa kulewa
weniache niende niende (kulewa kulewa)
[outro]
niende niende (kulewa kulewa)
kulewa kulewa (iiih)
kulewa kulewa (iiih)
kulewa kulewa (iiih)
kulewa kulewa (iiih)
kulewa kulewa (iiih)
كلمات أغنية عشوائية
- boxer (uk) - save me كلمات أغنية
- littleboy55k - never againj كلمات أغنية
- jeon somi (전소미) - ice cream song كلمات أغنية
- tony bennett - mister magic كلمات أغنية
- joogszn - champagne in my wok كلمات أغنية
- john jeffreys - it is winter كلمات أغنية
- jabu graybeal & foggieraw - nothing usual كلمات أغنية
- maks nayka - гондурас (honduras) كلمات أغنية
- kryaga - fluff كلمات أغنية
- 青山テルマ (thelma aoyama) - 乙 كلمات أغنية