
diamond platnumz - msumari كلمات أغنية
[instrumental intro]
ay_ayo, trone
mmmh
[verse 1]
ni utoto tu, ila mie kwako sipindui
ndio maana usiku nikinuna, najichekesha asubuhi
ni ujinga tu, ila mie kwako fala
ndio maana usipo pokea simu, siwezagi lala
mmm, umenifunza tofauti ya kupenda na kupendana
na kuongea sio sauti hata macho husemezana
na mapenzi yanataka, ‘imara, kuaminiana
nami kwako sina shaka, ‘ewawa, utachofanya
[pre_chorus]
na hivi vi inzi, vya kuzengea wizi, vikija anga hizi, visikunyime amani
lala usingizi, upepo barizi, mie mambo ya uzinzi, ‘aku!, vya kazi gani, baby?
[chorus]
hapo hapo ilipo mbao (gongelea na msumari)
oh, penzi letu tuboreshe, (gongelea na msumari)
ezeka na bati, honey (gongelea na msumari)
mvua ya chuki isipenyeshwe (gongelea na msumari)
mm, mm_m
[instrumental break]
[verse 2]
oh, njiwa nenda, njiwa, ‘njiwa peleka salamu (peleka salamu)
naivasha, kivule, ‘mombasa zifike lamu
njiwa nenda, njiwa, ‘njiwa peleka salamu, ziende mpaka kwa yule, ‘lonitesa mwanaharamu
si alisema mimi, sitopata wa thamani, asa hii ni nini?
umuulize huyu nani, wamebaki kutabiri si punde tutaachana
wambie sio kwa penzi hili, mbona wataroga sana
[hook]
na hivi vi inzi, vya kuzengea wizi, vikija anga hizi, visikunyime amani
lala usingizi, upepo barizi, mie mambo ya uzinzi, ‘aku!, vya kazi gani, baby?
[post_chorus]
hapo hapo ilipo mbao (gongelea na msumari)
oh, penzi letu tuboreshe, darling (gongelea na msumari)
ezeka na bati, honey, oh (gongelea na msumari)
mvua ya chuki isipenyeshwe (gongelea na msumari)
mmm
[instrumental outro]
wasafi
كلمات أغنية عشوائية
- fantasia barrino - summertime كلمات أغنية
- 311 - love song كلمات أغنية
- marc broussard - home كلمات أغنية
- ben kweller - believer كلمات أغنية
- pj harvey - a perfect day, elise كلمات أغنية
- lil romeo - my cinderella كلمات أغنية
- ma e - 24 hours to live كلمات أغنية
- john cougar mellencamp - pink houses كلمات أغنية
- skillet - forsaken كلمات أغنية
- trapt - i will get what is mine كلمات أغنية