kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

diamond platnumz - mawazo كلمات الأغنية

Loading...

ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kw-ngu kikwazo.
(ve-rs- one)
sikujua mapenzi balaa tena ni maladhi ya moyo kupendaga…
tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye kava…
utu w-ngu unathamani inamaana kweli hakuvijua!
licha ya burudani namapenzi yangu akayatimua,
utu w-ngu unathamani inamaana kweli havijuaa!
mmmh! licha ya burudani ndani akaamua kutimuaah! (inauma sana)
(chorous)
ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kw-ngu kikwazo. (rudia kuimba mara mbili)
ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani naumia nalia na moyo w-ngu…
ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu,
ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo w-ngu.
kweli wivu me ninao na roho yangu inaumiaa,
kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia!
lile tunda langu la mara leo limekuwa sumu kw-ngu,
ona tena sina raha me nacheka nalia na moyo w-ngu.

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...