
diamond platnumz - mapenzi basi كلمات أغنية
[intro]
(a_a_a, am records)
this is crazy
but, i just wanna tell you
how badly my heart is breaking
this is absolutely painful for me to say
‘d_mn’
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
[verse 1]
yalinifanya nikaugua
mara napanga napangua
mwili ukakonda nikapungua
ah, sikulala (sikulala)
oh, maradhi nikaugua, oh oh
yakanichoma na kuungua roho
kutwa nawaza na kuwazua
sikulala…
[pre_chorus]
eh
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh_gombana
nikatukanwa
lakini akanipiga teke
aiih
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh_gombana
nikatukanwa
iye
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
[verse 2]
oh, nilish_gombana na mama mzazi
akataka nimwagia radhi
sababu yule fulani
yule wa moyo w_ngu
yakaleta zengwe kwa kazi
ugomvi wa simba na panzi
vurugu kwa majirani
ah, e mola yangu
[pre_chorus]
eh
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh_gombana
nikatukanwa
lakini akanipiga teke
aiih
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh_gombana
nikatukanwa
iye
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
كلمات أغنية عشوائية
- âşık mahzuni şerif - bırak beni konuşayım كلمات أغنية
- nuno hunter - d.a.t.a كلمات أغنية
- veronica fusaro - off you كلمات أغنية
- sanguine glacialis - libera me كلمات أغنية
- lil ramen - peter griffin كلمات أغنية
- iris (dagames) - draw the line كلمات أغنية
- whenyoung - a labour of love كلمات أغنية
- fista - perchè (e' solo l'inizio mixtape) كلمات أغنية
- @shinydice - ballin كلمات أغنية
- charles aznavour - tu ne m'aimes plus كلمات أغنية