
diamond platnumz - lala salama lyrics
[intro]
lala salama
matatizo, chuki, lawama
[chorus]
uki la lala salama
k-mbatia picha yangu
kama ukinik-mbuka sana
nipige simu yangu
uki! uki la lala salama
k-mbatia picha yangu
matatizo, chuki, lawama
vumilia mpenzi w-ngu
[verse 1: diamond platnumz]
najua wivu ndio mapenzi
ila chunga usizidi
si unajua kwako sijiwezi
ila dhiki imebidi
mi nili tamani si ni kuwa nawe
tuwe wote usiku na mchana
kilichofanya mi nipagawe
sina chcochote cha kuwalisha wana
niliupokea kwaunyonge
msiba wakaka bona
ile barua yako wa mwisho
ilinitonesha vidonda
usijali, nilai kipenzi changu
ukazani nimek-mbwa, na pepo la starehe
mambo bado magumu kw-ngu
afadhali hata ya jana, ya kesho niombe
[chorus]
uki la lala salama
k-mbatia picha yangu
kama ukinik-mbuka sana
nipige simu yangu
uki! uki la lala salama
k-mbatia picha yangu
matatizo, chuki, lawama
vumilia mpenzi w-ngu
[verse 2: diamond platnumz]
ile ‘kuo uone’, nilidhani maghorofa
ah! k-mbe mwana ukome
hakuna cha kuokota
mi bado nakaza moyo changu kipenzi
ilia naumia kwa kuwa mwenyewe
natamani ila siwezi
n-z-tafuta nije kula na wewe
msalimu mama nyumbani
usisema kama nahenya
tai! mfiche mpe imani
karibu ntakuo chema
usijali, nilai kipenzi changu
ukazani nimek-mbwa, na pepo la starehe
mambo bado magumu kw-ngu
afadhali hata ya jana, ya kesho niombe
[chorus]
uki la lala salama
k-mbatia picha yangu
kama ukinik-mbuka sana
nipige simu yangu
uki! uki la lala salama
k-mbatia picha yangu
matatizo, chuki, lawama
vumilia mpenzi w-ngu
Random Lyrics
- acdc - flick of the switch lyrics
- acdc - for those about to rock (we salute you) lyrics
- acdc - furor lyrics
- acdc - get it hot lyrics
- acdc - get it hot (original recording) lyrics
- acdc - get it hot (original) lyrics
- acdc - girls got rhythm lyrics
- acdc - give it up lyrics
- acdc - girls got rhythm (live in paris) lyrics
- acdc - given the dog a bone lyrics