
diamond platnumz - i miss you كلمات أغنية
[verse 1]
h-llo, hapo vipi sijui unanisikia
h-llo, na maneno natamani kukwambia
h-llo, tafadhali usije nikatia
h-llo ooh, ona mpaka nasahau kusalimia
habari gani? leo nimekuk-mbuka sana
na mama yaani, twakuwazaga
vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana?
na aunty shani, wa chimwaga
anha kile kidonda changu cha roho
bado kinanitia tabu
najitahidi kukaza roho
ila n-z-disha adhabu
tena silali oh
nasubiri maajabu
maumivu yangu hayaj-pata dawa
[chorus]
maana i miss you (nakuk-mbuka iye iye) nakuk-mbuka baby
i miss you (nakuk-mbuka iye iye)
i do miss you (nakuk-mbuka iye iye) nakuk-mbuka mama
i miss you (nakuk-mbuka iye iye)
[bridge]
ooh na roho yangu mama (bigili bigili)
ah nikikuwaza (bigili bigili)
nikisinzia (bigili bigili bayoyo)
oh nikilala (bigili bigili)
inama inuka woh (bigili bigili)
nami sina raha (bigili bigili bayoyo)
[verse 2]
tatizo hata sijui nini kosa langu
mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga
nawaza ila siambui ama shida zangu uuu..
simba nikawa chui mi roho inaniumaga
yawezekana ahadi zangu zisizotimia
ndio maana haukutaka kusubiria
nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia
chai mchana usiku dona kurumaghia
nilitamani sana ila nguvu yangu pale iliishia
ningalikua na uwezo ningekutimizia
ningali unafuraha haya maumivu ntayavumilia
ila j-po nambie ivi unanifikiria maana eh eeh
[chorus]
nak-mk-mbuka iyeh iyeh (nak-mk-mbuka sana ooh)
i miss you (nakuk-mbuka iye iye)
nak-mk-mbuka sana ooh
i miss you (nakuk-mbuka iye iye)
i miss you (nakuk-mbuka iye iye)
i miss you (nakuk-mbuka iye iye)
[bridge]
ooh na roho yangu mama (bigili bigili)
ah nikikuwaza (bigili bigili)
nikisinzia (bigili bigili bayoyo)
oh nikilala (bigili bigili)
inama inuka woh (bigili bigili)
nami sina raha (bigili bigili bayoyo)
hata nikila (bigili bigili)
nikikuwaza (bigili bigili)
nikiiii nana
(bigili bigili bayoyo)
ooh na roho yangu mama (bigili bigili)
ah nikikuwaza (bigili bigili)
nikisinzia (bigili bigili bayoyo)
[outro]
tudd thomas
eeeeeh eeh roho yangu mama (bigili bigili)
eeeeh hee hee (bigili bigili)
eeeeh hee hee (bigili bigili bayoyo)
oooh roho yangu mama (bigili bigili)
inama inuka woh (bigili bigili)
na chibu sina raha(bigili bigili bayoyo) oh
hata nikila
كلمات أغنية عشوائية
- five iron frenzy - bullfighting for an empty ring كلمات أغنية
- emas - boiler room كلمات أغنية
- caleb small - in the clouds كلمات أغنية
- ck the rapper - dead كلمات أغنية
- kathryn jeanette - not ashamed كلمات أغنية
- banda r12.2 - enche-me de ti كلمات أغنية
- domovyna - храм (chram) كلمات أغنية
- flo & joan - little flo & joan (recorded live in london) كلمات أغنية
- garrison starr - the devil in me كلمات أغنية
- slow corpse - in my head كلمات أغنية