
devotha severian - hakuna hasara lyrics
tumaini langu nimeliweka kwako
bwana yesu w_ngu uliye niokoa
tumaini langu nimeliweka kwako
bwana yesu w_ngu uliye niokoa
nakunipa ufahamu tena eeh
nilio kuwa nimenyang’anywa na shetani nyakati za ujinga
sasa nimekuja yesu
wewe ni mwema
ulinivuta kwako bwana
uniokoe
wewe ni mwenye huruma nyingi
hakuna mfano
maana umenisamehe dhambi
nilizotenda
sasa nimekuja yesu
wewe ni mwema
ulinivuta kwako bwana
uniokoe
wewe ni mwenye huruma nyingi
hakuna mfano
maana umenisamehe dhambi
nilizotenda
kama mzazi na mwanae
aonapo amechaf_ka kwa matope
humuosha kwa maji safi na sabuni
ili mtoto awe safi tena namimi pia umenisafisha uovu w_ngu baba
kama mzazi na mwanae
aonapo amechaf_ka kwa matope
humuosha kwa maji safi na sabuni
ili mtoto awe safi tena
wale waliotekwa na shetani
wanasema
ninapoteza muda kuwa nawe yesu wamemfanya kuwa ni rafiki
tena baba yako
hawajui siku moja watajuta
mmelijua hilo ohoo shetani na wafuasi wake watatupwa motoni
yesu nik_mbatie uuuuu
ili nisiangushwe uuuuu
yesu nik_mbatie uuuuu
ili nisiangushwe uuuuu
hakuna hasara kwako yesu
hakuna hasara
hakuna hasara kwako yesu
hakuna hasara
hakuna hasara kwako yesu
hakuna hasara
hakuna hasara kwako yesu
hakuna hasara
Random Lyrics
- 2.0 fray - top 7 lyrics
- aaron fraser-nash - chucky vs benny lyrics
- uo aiff - déjalo ir lyrics
- herbert grönemeyer - flugzeuge im bauch (2024 mix) lyrics
- ricta - maradona lyrics
- astro (아스트로) - santi x santi lyrics
- dro kenji - got my back lyrics
- димдэкт (dimdekt) - вдох (vdoh) lyrics
- purulent - patología grotesca lyrics
- falo - yo pendiente lyrics