
dena mwana - roho yangu كلمات أغنية
[paroles de “roho yangu”]
sijuwe nitete ye je
kwani maneno ya mimenipita aah
nguvu na ukwabwa wa pendo lako
huwezi ku pimwa
hujuwa niya zangu uuh
baba hujuwa uga w_ngu ouuh
maneno yangu machache kukueleza
upendo w_ngu kwako
sikiliza roho yangu baba
moyo w_ngu hukuimbiya
sikiya nyembo ya upendo ooouh
wa mutoto uliye mkombowa aah
nita chukuwa maneno yangu mabovo
kutangaza ukubwa wako
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
aaaaaaaah
aaaaaaah ouh aaaah
sasa kama nvuwa
maneno yangu yangu tiririka aah
ninge kuwa na minugu mikononi mw_ngu
singeweza kusema
ila ndani ya roho yangu ooouh
baba hujuwa yote eiiii
aksante kwa maisha ukweli njiya
baba ubarikiwe
sikiliza roho yangu baba
moyo w_ngu hukuimbiya
sikiya nyembo ya upendo ooouh
wa mutoto uliye mkombowa aah
nita chukuwa maneno yangu mabovo
kutangaza ukubwa wako
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
sikiliza roho yangu baba
moyo w_ngu hukuimbiya
sikiya nyembo ya upendo ooouh
wa mutoto uliye mkombowa aah
nita chukuwa maneno yangu mabovo
kutangaza ukubwa wako
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
humm
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
baba baaaaaba
baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
baaaaaaaaa ah
baabababababa
kweli siwezi
kusema chochote eii
baba w_ngu
babaaa
kwa kweli siwezi
sema chochote
sikiya roho yangu
كلمات أغنية عشوائية
- andywumusicland - mashup 2015 “fight for love” كلمات أغنية
- lazarus - perfect unity كلمات أغنية
- spark master tape - game plan كلمات أغنية
- elton ibragimov - butterflies كلمات أغنية
- joan manuel serrat - utopía كلمات أغنية
- bricc baby - pull up كلمات أغنية
- 6ix4ever - heart switched up كلمات أغنية
- drrty pharms - discipline (feat cool swim) كلمات أغنية
- kali (pl) - pit-stop كلمات أغنية
- mindofwes - man on a mission كلمات أغنية