dc - slay queen كلمات الأغنية
intro:
yeaaaaah
verse 1
dc
sikuwa na pesa mingi
by that time ndo ulitaka kunifanya dingi
nikapenda kwa hofu sana usije niumiza nikizama king
ulipenda mitoko sio ya pesa kidogo ni ya pesa tu mingi mingi
nikikosa unafoka nyumbani unaondoka unarudi mitungi mingi
ukaona ni bora unikosee
ila midollar nikuletee
vacation unataka mayotte
makosa ni kwenda wote
bridge
dc
hivo ndo unavyopenda we
au nilikosa mi kukupenda
mwenzako nahitaji kuwa na we
au ni kosa mi kukupenda
unavyopenda vya juu
ukikosa makuu
hautaki kuishi nafuu
zako gharama za juu
we
chorus
dc
slay queen
slay queen x2
slay queen
slay queen
we!!!!
verse 2
bustasulemz
spend on my cash running around no not now girl
(girrrl)
kunionesha madharau hiyo sio sawa girl
(girrl)
you were right with me (yeah)
k_mbe unanilagia (poor me) (oh whyyy girrrl)
why did you lie to me (mh’mhhh)
you cut the real love you burned it (uhwii)
nakuona yourface on my mirror
i get your body on my bad
ulikuwa pale for my money
(yah)
haupo na me now am lonely
ndoto za usiku ni hold me
bridge
dc
hivo ndo unavyopenda we
au nilikosa mi kukupenda
mwenzako nahitaji kuwa na we
au ni kosa mi kukupenda
unavyopenda vya juu
ukikosa makuu
hautaki kuishi nafuu
zako gharama za juu
we
chorus
dc
slay queen
slay queen x2
slay queen
slay queen
we!!!!
music audio by dc and bustasulemz , performing slay queen ©2020 lostboysmusic / ellevenstudios
كلمات أغنية عشوائية
- graham parker - get started start a fire كلمات الأغنية
- tragically hip - now for plan a كلمات الأغنية
- jesus and mary chain - coast to coast كلمات الأغنية
- jesus and mary chain - cracked كلمات الأغنية
- jesus and mary chain - commercial كلمات الأغنية
- jesus and mary chain - come on كلمات الأغنية
- graham parker - girl on the pier graham parker كلمات الأغنية
- jesus and mary chain - deep one perfect morning كلمات الأغنية
- jesus and mary chain - darklands كلمات الأغنية
- graham parker - heat treatment كلمات الأغنية