daz baba - wife كلمات أغنية
[instrumentals:]
verse 1: daz baba
daz baba nishakuwa mtu mzima’ mi
sasa nahitaji mrembo wa kuishi nami
kuzaa na kulea, watoto nami
kwenye shida na raha avumulie nami
asinifanye kama barua, asababishe nijaribu kujiua
anipe mapenzi, nimpe mapenzi
naye aya enzi, asinifanyie ushenzi
pre: chorus
ntafurahi nikimpata’ mwenye sifa zote nnazotaka
kiuno anajua kukata, mpaka’ mi nimeshindwa k_muacha
chorus:
muda umeshafika, nafikiri sasa nahitaji wife wa kuishi nami
warembo wako wengi ata sijui yupi atakaye faa’ ya kuishi nami
muda utafika, kila mmoja naye atahitaji wife wa kuishi naye
na kila mmoja ndiye atajuwa yupi hasa’ atakaye mfaa’ ya kuishi naye
verse 2: ngwair
ishakuwa soo’ mtaani kashfa kibao
ngwair’ nshaamua sasa milupo, no!
nahitaji honey, mwandani, aendane nami
kwanzia tabia mpaka vitu fulani, yaani ikiwezekana apandishe hata majani, ila’
asiwe ana_bore ka anapokuwa nami
awe’ ana kata viuno, aliyefunzwa unyagoni ( what )
tuwapo kitandani anipe burudani (ha ha)
na’ anipende mi, mi kama mi
(?) sio kisa eti mimi msanii ( kweli )
au labda naonekana sana kwenye t.v. ( no )
bali waku nishauri juu ya h.i.v
awe’
mwenye lips pana…
ndo maana’ ndo moja ya vitu ambavyo vinanichanganya
na’
akicheka ana mwanya…
yo, sitakuwa na cha kufanya zaidi ya k_mpenda sana…
yeah!
ngwair!
chorus:
muda umeshafika, nafikiri sasa nahitaji wife wa kuishi nami
warembo wako wengi ata sijui yupi atakaye faa’ ya kuishi nami
muda utafika, kila mmoja naye atahitaji wife wa kuishi naye
na kila mmoja ndiye atajuwa yupi hasa’ atakaye mfaa’ ya kuishi naye
verse 3: daz baba
…
long time’ namzimia huyu shawty, niliamini yeye ndio atayenifaa…
sikuwahi hata kupiga nae stori, ila siku moja maskani nimekaa’ nashangaa’ kupokea yake barua
anadai mi ndo nnaye mchengua…
hata jibu la k_mpa, (?) sikujua, nikamwambia basi mama, moyo w_ngu chukua…
ntashukuru k_mpata’ mwenye sifa zote nnazotaka
kiuno anajua kukataa, mpaka’ nimedata si ntomuacha
chorus:
muda umeshafika, nafikiri sasa nahitaji wife wa kuishi nami
warembo wako wengi ata sijui yupi atakaye faa’ ya kuishi nami
muda utafika, kila mmoja naye atahitaji wife wa kuishi naye
na kila mmoja ndiye atajuwa yupi hasa’ atakaye mfaa’ ya kuishi naye
hook: ngwair
ma_sista doo’ sasa wakati ndo umefika
kuonyesha uwezo wenu wa kukatika
tuone nani ambaye anayeweza kupagawisha
ili mi niweze funga nae pingu za maisha
ma_sista doo, ule’ wakati ndio umefika
kuonyesha uwezo wenu wa kukatika
tuone nani anayeweza kutudatisha
mmoja wetu’ aweze kufunga naye za maisha…
[instrumentals:]
outro: ngwair
“mi’ nahitaji wife, kwasababu mi nimetoka kwa wife, ndo nkaja mie
uh…
nadhani na wewe utahitaji wife, ha ha!
nani anafaa kuwa wife? yeah
hilo ndo swali…
daz baba
ngwair
p_funk
bongo records
كلمات أغنية عشوائية
- dj buhh - pęknięty jeż (bezele hymn) كلمات أغنية
- dbs gordão chefe - samba maria كلمات أغنية
- diamond d & the psychotic neurotics - red light, green light كلمات أغنية
- headswim - moving on كلمات أغنية
- unité 2 feu - fer de lance كلمات أغنية
- big vamous - diament كلمات أغنية
- s.m. luke - 215 كلمات أغنية
- e-dubble - what it do كلمات أغنية
- christopher chacon - just us كلمات أغنية
- dinos - dieu est une femme كلمات أغنية