
daz baba - usihukumu كلمات أغنية
[instrumentals]
chorus:
usi huk_mu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
sure’ ah…aah…aahaa…
( watu wanaishi vipi )
bora ukinielewa…
( maisha mafupi )
verse 1:
ukisikia’ kwanza fuatilia, ukishajua ndipo uchukue hatua
usipende kuhisi zaidi ya kudadisi, haifai k_muita mtu wa mola, ibilisi
masela w_ngu wapo’ jela kitambo, w_n_lalamika uswazi hawajafanya mambo
hawajui lini milango itafunguka, wasio na hatia waweze toka
adui au rafiki hadi sasa hajulikani, vipi mwanadamu achukue sheria mikononi
hata tukiulizana yupi anaeongoza kwa mema, usiku na mchana tutakesha’ hatutamuona
chorus:
usi huk_mu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
sure’ ah…aah…aahaa…
( watu wanaishi vipi )
bora ukinielewa…
( maisha mafupi )
verse 2:
wote tumezaliwa’ dunia tumeikuta, yote hatutaimaliza, tupo njiani tunapita
usimdharau yule usiyemjua kwani baadaе anaweza akakusaidia
usimhuk_mu yeyote yulе’ kwa ajili ya mavazi yake
usimshutumu yeyote yule’ kwasababu ya makazi yake
kama mmekoseana mueleweshane, isiwe sababu mbali mfikishane
maisha ni matamu lakini ni mafupi, na wote hatujui huk_mu yetu saa ngapi
chorus:
usi huk_mu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
sure’ ah…aah…aahaa…
( watu wanaishi vipi )
bora ukinielewa…
( maisha mafupi )
outro:
tusihuk_mu wachanga, yeah! hawajui wanapo kwenda
un_huh!
daz nundaz, sewa side, (?) , majani, tufate haki, ausio?
yeah, mon!
[instrumentals]
كلمات أغنية عشوائية
- petróleo - fracasar mejor كلمات أغنية
- wanessa camargo - cuida de mim كلمات أغنية
- emplus - for you كلمات أغنية
- artistnameleon - break up كلمات أغنية
- georgie - that’s when it feels like love كلمات أغنية
- chris choice - vibe on me كلمات أغنية
- rachel york & roger bart - i will survive (disaster! the musical) كلمات أغنية
- los látigos - luces sensacional كلمات أغنية
- paradise - see the light كلمات أغنية
- daniel o'donnell - let it be كلمات أغنية