dayoo - wajue
[intro]
oya, ma_feeling
(?)
oya, (?), mh
oh, no
yeah
mmm
[verse 1]
baby, si unak_mbuka mwaka jana?, walitabiri tutaachana,_na
mpaka leo tupo, ‘na bado tupo, tupo sana,_na, walio tabiri tutaachana
ona wao ndio wameachana, na sisi tupo, ‘na karibu tunaoana
[pre_chorus]
tumewapunguza kelele, hawasemi sikuhizi wananong’ona
huku kwetu sherehe, wanakonda sisi tunanona

[chorus]
na unajua, upendo wa kweli haupimwi na gari
tambua, maisha yatasonga hata tukikosa wali
mi nataka wajue (eh, eh), we ndio, ‘namba moja
nataka wajue, we ndio, ‘namba moja
nataka wajue (eh, eh), we ndio, ‘namba moja
nataka wajue, we ndio, ‘namba moja
nataka wajue (eh, eh)
[instrumental break]
[verse 2]
ona, ‘na hapa kwenyewe najiona hisia zimefika mbali,_ih
nawaza bila wewe, sa nitaishi na nani,_na
kwa yoyote [?], tutafika mbali, naapa
nitamchinja hadharani, dunia ijue kama natu_
[pre_chorus]
tumewapunguza kelele, hawasemi sikuhizi wananong’ona
huku kwetu sherehe, wanakonda sisi tunanona
tumewapunguza kelele, hawasemi sikuhizi wananong’ona
huku kwetu sherehe, wanakonda sisi tunanona
[chorus]
na unajua, upendo wa kweli haupimwi na gari
tambua, maisha yatasonga hata tukikosa wali
mi nataka wajue (eh, eh), we ndio, ‘namba moja
nataka wajue, we ndio, ‘namba moja
nataka wajue (eh, eh), we ndio, ‘namba moja
nataka wajue, we ndio, ‘namba moja
nataka wajue (eh, eh)
[instrumental outro]
كلمات أغنية عشوائية