
davy kamanzi / dvk - slay king (vitu sipendi) كلمات أغنية
[intro]
ehen, dvk (black hole)
this one’s for all my slay kings doing their thing out here in nairobi, man
watu wa kuchukua uber na si umoinner
watu wa kudishi kempinski, not kibandaski
ayy
[chorus]
(ehen) nganya (ayy), wezi (ayy)
panya (ayy), deni (ehen)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
piga (ayy), densi (ayy)
sitaki (ayy), penzi (ayy), shenzi (my fren)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
[verse 1]
mi na ma_bro tuko rieng (tuko rieng), tuko ma_drinks na mayeng (na mayeng)
kuna mmoja ameninoki (ayy), anadai mjulubeng (ehen)
lakini mi niko hungry, mi nasaka tu msosi
options ni mchezo (ai!) k_mbe kevo si mdosi
ati migingo na teargas (ah!) hizo ni nini? (hizo ni nini?)
leta maharagwe na pasta (ayy), na soda mbili
juzi niliona dem akidarwa (ah?) huko jijini (huko jijini?)
wanashangaa ati nani ananyamba? buda si mimi (buda si mimi)
[chorus]
(ehen) nganya (ayy), wezi (ayy)
panya (ayy), deni (ehen)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
piga (ayy), densi (ayy)
sitaki (ayy), penzi (ayy), shenzi (my fren)
hizo ndio vitu sipendi
[verse 2]
ni wikendi (ayy), tunaenda party (ayy)
kila mtu ako barley (ayy)
shawty (ehen), leta nare (ayy)
washa ngem hapo ndani (ayy)
dvk (ehen), flows kibao, lazima (ayy)
hizi line nizi_ration (ehen)
wekwa chobo, pigwa bare kama rachel
rachel, rachel (ehen)
[chorus]
nganya (ayy), wezi (ayy)
panya (ayy), deni (ehen)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
piga (ayy), densi (ayy)
sitaki (ayy), penzi (ayy), shenzi (my fren)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
[outro]
(black hole)
كلمات أغنية عشوائية
- emily bowen - better days كلمات أغنية
- leonardo adam - presságio do fim كلمات أغنية
- terrenoire - alma كلمات أغنية
- benjamin hav - bo og lis كلمات أغنية
- dead larry - ресентимент/диатриба كلمات أغنية
- fallbrawl - through my eyes كلمات أغنية
- timblat - как обама (like obama) كلمات أغنية
- kvn hrzn - easier كلمات أغنية
- florin salam & adnana m - liniștea mea bună كلمات أغنية
- dc2trill - ftn كلمات أغنية