davy kamanzi / dvk - nimesota كلمات الأغنية
[intro: dvk]
wueh!
dvk
yo, this one’s for all the broke n_ggas, man
sherehe imeisha, m_pesa iko zero, heh
it’s back to work, monday
yo (black hole)
[chorus: dvk]
buda nimesota, mbona sijaomoka?
struggle huku congo, nipe mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka?
struggle huku congo, nipe mic niwe_ uh
[verse 1: dvk]
leo narauka mapema (ayy), i’m tryna get me some paper (paper)
nimetoka nairobi (what?), hustlin’ is in my nature (ehen)
n_gga, f_ck all of the haters (f_ck them), buda, leo nitapenya (nitapenya)
nataka mif_ko bigi, kama s_m_nya (caster, caster)
fika mboka na matatu (ayy), mi niko kazi (mi niko kazi)
piga toja na kabuti lakini unauza mandazi (unauza mandazi?)
masaa za lunch zikifika ni ugali mix na soda kibandaski (ah!)
kama ndukulu ndio form (ayy), buda chunga warazi (buda chunga warazi, ayy)
sonford (ayy), fritaz (ayy), buda kam tumange njiva (ehen)
na chumvi sidishi bila (ayy)
wacha story za lonyang’apuo, usi_kif up, utafika (usi_kif up, utafika)
hustle (еhen), usi_kif up, utafika
[chorus: dvk and andybolo]
buda nimesota (buda), mbona sijaomoka? (mbona?)
struggle huku congo (ayy), nipе mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka? (why?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko (ras!)
[verse 2: andybolo]
machungu ni mingi (mingi), kama hauna shilingi (kusota)
seti kisensi na bingi, maras ni wengi, amini (amini)
ni jeshi balaa, angalau wadau, though sinanga ubaya
msee mpole kusema ukweli, mezeshea, ni fire (ai! ai! ai!)
hakuna simba mnyonge (zi), nipatie beat niroge (rah!)
mi ni mkamba mkonde mix mlami, ndio hiyo story tubonge (wah! wah! wah!)
mi sijichochi (zi), nasaka tu ganji daily, sipotezi wakati
na si bahati, madem wenu wote wananidai juu ya manati, ah!
[chorus: dvk and andybolo]
buda nimesota (buda), mbona sijaomoka? (mbona?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka? (why?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko
[verse 3: bh]
ona ganji zimekam, ona bhanje zime_land
morio anzenza ako rada, g_bag na mawaba
siku za kwanza nilikubali sitawahi kuwa mtiaji (never!)
juu huwezi mix mafuta na maji, ata ikuwe we ni nani (never!)
mi huzipeleka bank, mkizipeleka bar (kwa bar)
juu mi na_like chapaa, kusleki, huwezi nipata
nikiboeka najikata, juu dem ako home anadai pasapasa
mi humkuta kila ukuta ya keja, halafu namaliza (juu ya meza!)
[chorus: dvk and andybolo]
buda nimesota (buda), mbona sijaomoka? (mbona?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka? (why?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko (nipe mic niwe sonko)
[outro]
(black hole)
(phone ringing)
كلمات أغنية عشوائية
- illmane - my rules كلمات الأغنية
- глюк’oza - пина колада (pina colada) كلمات الأغنية
- as it is - idc, i can't take it كلمات الأغنية
- grupo firme - pídeme كلمات الأغنية
- dj zenas - i like the stock كلمات الأغنية
- lasse stefanz - varför vill du inte ann-marie كلمات الأغنية
- adrien gallo - maya louise elena كلمات الأغنية
- lasse stefanz - my broken souvenirs كلمات الأغنية
- koshi - storm كلمات الأغنية
- upsahl - psycho كلمات الأغنية