
daroon - yah ramadhan كلمات أغنية
yaah yaah
aaah aaah aah
(chorus)
ramadhani ramadhani
ramadhani ramadhani
ramadhani oooh daroon
ramadhani imeingia kwa hamu tuliusubilia
mola umetujalia afya njema umetupatia
twakushukuru kwa heshima zote
tw_tamani mwezi usiondoke
ubaki nasi siku zote, siku zote
(pre_chorus)
twaambia tutoe swadaka
na tena tutoe zaka
na tusali, tusali, tusali
oooh…
tusome sana qur’an
tuhutubie kutoka moyoni
amari, amari, tupate amari
(chorus)
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye msamaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye msamaha
(verse 2)
tuzidi omba sana
usiku mchana
maaswi kuyatupa
uwe baba au uwe mama
mungu ni wa k_muogopa
na tuzidi kushikana kwa pamoja
mtume tumsalie
kiongozi bora sana
kwetu dhamana
yapaswa k_msalia
(pre_chorus)
twaambia tutoe swadaka
na tena tutoe zaka
na tusali, tusali, tusali
oooh…
tusome sana qur’an
tuhutubie kutoka moyoni
amari, amari, tupatе amari
(chorus)
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwеzi wenye msamaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye msamaha
daroon
totoz nation
كلمات أغنية عشوائية
- rap addix - dystans كلمات أغنية
- akasaki - 爆速論理ness كلمات أغنية
- liricistas - el fuego, el alma y ...ore كلمات أغنية
- fermín romero - tu canción كلمات أغنية
- aidan vaughn - searching for your heart كلمات أغنية
- feiert jesus! - groß ist die dunkelheit كلمات أغنية
- hood kidd quan - quan’s story كلمات أغنية
- omar pierce - better be lucky كلمات أغنية
- ariaa - this & that كلمات أغنية
- juliana chahayed - strawberry town كلمات أغنية