darassa - utantoa roho كلمات الأغنية
mwana mama, mwana mama yoo
mwana mama, mwana mama yoo
oooh, mwana mama ooh
oooh, mwana mama ooh
moyo ukish_ga simamaga kidedea
unakutaga unapiga na kujichezea
mtu ukipenda you don’t care (you don’t care)
hujui unakokwenda you don’t stare
yaani fumbua macho kama sio dili
na bado kukikucha kwako niko willing
kufanya vitu kama sinaga akili
ni sawa mtu ale mi nilipe bill
nacheka njia gani uko fire
mapenzi yamesala yanaumizaga vibaya
presha inashuka kupanda
kuwaza kuwanda kwa kiza na mw_nga
mwana gwe __
mwana gwe __
_____
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
yes i love so much
i adore you
i cannot deny you
without you am incomplete
you are my number moja girl
namba mbili tatu nne
you are expensive no lies
come closer nipe kiss
umeuwasha moyo kuizima siwezi
sina ujanja umeniteka na penzi
ni maisha ya vaa kuvua sipendezi
na nimeshakaa sisogezi siongezi
whine fi me girl come to daddy
the way you whine it you look so pretty
since your style you got black beauty
__
nakuwaza nakuwaza
you de mother am the father
nakuhitaji wewe
look at the stars in your eyes
na lipstick on your lips
nakuwaza nakuwaza
oooh sea saw, my sweet potato
oooh sea saw, my sweet potato
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
كلمات أغنية عشوائية
- crystal lewis - joyful, joyful, we adore thee كلمات الأغنية
- mentaguay - city cool كلمات الأغنية
- kiranova - marry the hoe كلمات الأغنية
- the dave clark five - funny كلمات الأغنية
- минус18 (minus18) - одни (alone) كلمات الأغنية
- ink #86 - bad intentions كلمات الأغنية
- the histrionics - void كلمات الأغنية
- vivian leva - last of my kind كلمات الأغنية
- no te va gustar - la rama كلمات الأغنية
- softheart - made a song w/ "play in ethereal tuning" كلمات الأغنية