kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

darassa - tumepoteza كلمات الأغنية

Loading...

(abbah)

ah, i swear to god for my life
that i speak from my heart
ushawai kupenda
let me see your hands up

(classic music)

ah, mw_nga umeingia gizani
nyota yetu inafifia angani
ndoto zetu zinaishia njiani
mapenzi yetu yako mashakani

mapenzi ya vikwazo mitihani
kila mmoja anaumia ndani
tulivyo anza mwanzo sikudhani
kama yangepotelea hewani

kwako nilijifunza kupenda
sikuwa na pumzi ata ya kuhema
kuwa na wewe mazoea yakajenga
ukafanya nikuwaze kila sehemu ninayo kwenda

yako wapi?
yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?
yako wapi?
mimi na wewe tulikuwa hapo
yako wapi?

yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?
yako wapi?
mimi na wewe tunaenda wapi?
yako wapi?

yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?
yako wapi?
mimi na wewе tulikuwa handle

yako wapi yale mapenzi yalе, yako wapi?
yako wapi?
mimi na wewe tunaenda wapi?

tumepoteza!
tumepoteza mapenzi, tumepoteza
tumepoteza!
tumepoteza mapenzi, tumepoteza

tumepoteza!
tumepoteza mapenzi, tumepoteza
tumepoteza!
tumepoteza mapenzi, tumepoteza
ah, ule wakati hujui ushike wapi
unafanya kitu moyo wako hautaki
kujiuliza maswali, majibu hupati
niya kutapa tapa kama mfa maji

sometimes, hisia zinakudanganya
unatanga na njia hujui la kufanya
huwezi kukimbia unacho kipenda sana
unabaki unaumia, akili inakuchanganya

tunacheat wakati tunapendana
tunapendana vipi tusipoaminiana
mimi na wewe imebaki kuzoeana
haya sio mapenzi, mapenzi ya kutesana

mw_nga umeingia gizani
nyota yetu inafifia angani
ndoto zetu zinaishia njiani
mapenzi yetu yako mashakani

yako wapi?

yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?
yako wapi?
mimi na wewe tulikuwa hapo
yako wapi?
yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?
yako wapi?
mimi na wewe tunaenda wapi?

yako wapi?
yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?
yako wapi?
mimi na wewe tulikuwa hapo

yako wapi?
yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi?
yako wapi?
mimi na wewe tunaenda wapi?

tumepoteza!
tumepoteza mapenzi, tumepoteza
tumepoteza!
tumepoteza mapenzi, tumepoteza

tumepoteza!
tumepoteza mapenzi, tumepoteza
tumepoteza!
tumepoteza mapenzi, tumepoteza

ule wakati hujui ushike wapi
unafanya kitu moyo wako hautaki
kujiuliza maswali, majibu hupati
niya kutapa tapa kama mfa maji

things ain’t gonna be the same again
mambo yalivyokuwa mimi nawe
ibaki stori ya kusimulia mapenz
mambo yalivyokuwa mimi nawe

things ain’t gonna be the same again
mambo yalivyokuwa mimi nawe
ibaki stori ya kusimulia mapenz
oooh yeah eeh

yako wapi? (ooh beiby)
yako wapi?(yako wapi?)
yoh yako wapi?(no no no no no)
yako wapi? (oooh beiby)
(abbah)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...