kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

darassa - tofauti كلمات الأغنية

Loading...

anatingisha sitigishiki
nimeng’a ang ania siti
hisia hazifichiki
kipenda roho utakula hata nyama nbichi
mapenzi yanashikaga ngagali
mapenzi yana nguvu ya hatari
moto wa kuotea mbali
kwisha habari nimeshazima gari

waloshika mabang wameingia mitini
nakutana na madongo ya chini chini
wanaulizana napagawa na nini
sauti akiongea na mwendo wa kutembea
siwezi hata kuelezea
nimeona mengi kwake kuna utofauti
sauti akiongea na mwendo wa kutembea
siwezi hata kuelezea
nimeona mengi kwake kuna utofauti

kivuli changu ujanja wa kukikimbia ntaanzia wapi
haya haya k_mekucha aliye ulizia mambo yapo katikati
utazua balaa unanipandisha kichaa
we mwana unananii za kushanga aa
atakapotea majira na amevaa saa
sio mchezo
habari na maelezo
waloshika mabango wameingia mitini
nakutana na madongo ya chini chini
wanaulizana napagawa na nini

sauti akiongea na mwendo wa kutembea
siwezi hata kuelezea
nimeona mengi kwake kuna utofauti
sauti akiongea na mwendo wa kutembea
si wezi hata kuelezea
nimeona mengi kwake kuna utofauti

kivuli change ujanja wa kukikimbia ntaanzia wapi
haya haya k_mekucha
aliye ulizia mambo yapo katikati

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...