
darassa - shika كلمات أغنية

mguu pande mguu sawa
tembea, tembea
nataka uwanja nitambe
sogea, sogea
wako wapi wapambe?
ooh kapotea, potea
ngoma itambe hiyo
kidedea, kidedea
masharti ya mganga wameyakosea
wamekuja kuzima k_mbe wanachochea
wanaopepea moto kolea kolea
mizani mi ni wa kuchezea chezea
zima redio mbao
haiya, zima na mtandao
haiya, sema nao piga bao
haiya, sisi sio saa saizi yao
vunja vibenge kimbiza mwenge kama desturi
uso sawa wa kucheza umevalia msuli
tatua gear razi utatuharibia shughuli
miguu vizuri ulizia wananiitaga nguli
kama unaimba, imba nikuitikie
ngoma inanoga, kucheza mtu akupigie
uchеke ulie, ishike iachiе
zangu niambie, kaa chini utulie
tumeishika, kamata suk_ma
tumeishika, kamata suk_ma
tumeishika, kamata suk_ma
tumeishika, kamata suk_ma
tumeishika(shika)
kamata(kamata)
shika(shika)
suk_ma(twende)
tumeishika(shika)
kamata(kamata)
shika(shika)
suk_ma(twende)
mbuzi kafungwa kwenye chuma cha reli
boss kaamka chumba cha uskeli
wanashaba baiskeli vipi sheli
kiwanja hakiwezi ogopa matapeli
ah survivor kwenye jungle commando
ukimjua panya ukatafute pango
endelea endelea kushikia bango
tukuvue nguo, tunavua majingambo
jembe la kulima, tifua tifua
navua papa itakua kamba, dagaa, kibua
mshike mshike segele langu unalijua
ngoma inoge kelele zangu mpaka napasua
panga pangua, ota otea
ukitaka chukua, ngoja ngojea
tokea, sogea, pokea, ongea
ngoja usimuliwe na macho ya kujionea
kama unaimba, imba nikuitikie
ngoma inanoga, kucheza mtu akupigie
ucheke ulie, ishike iachie
zangu niambie, kaa chini utulie
tumeishika, kamata suk_ma
tumeishika, kamata suk_ma
tumeishika, kamata suk_ma
tumeishika, kamata suk_ma
tumeishika(shika)
kamata(kamata)
shika(shika)
suk_ma(twende)
shika(shika)
kamata(kamata)
shika(shika)
suk_ma(twende)
mbuzi kafungwa kwenye chuma cha reli
boss kaamka chumba cha uskeli
wanashaba baiskeli vipi sheli
kiwanja hakiwezi ogopa matapeli
كلمات أغنية عشوائية
- construct - the molecular level كلمات أغنية
- skiy - i wanna dance with somebody (who loves me) كلمات أغنية
- 브레이브걸스 - 롤린 كلمات أغنية
- live(라이브) - cheese & wine كلمات أغنية
- burt reynolds - you can't keep a good dog down كلمات أغنية
- dj d double d - yeah كلمات أغنية
- jesca hoop - unsaid كلمات أغنية
- jefe - no i.d كلمات أغنية
- marleydontshootem - ballin like im 23 كلمات أغنية
- nlcthebest - who am i كلمات أغنية