darassa - shemeji كلمات الأغنية
kwanza kwenye hio posa umeweka dollar hee
au vibokoboko
tutanunulia nyanya na kuku chora
kisha uondoke mikono mitupu
si unaona dada nguvu yenye amenona
mrembo na tena msupuu
so kuwa mw_ngalifu mi nakuonya
mi nakukanya wee
utapochezea dada yangu utapata taabu
kwani dada yangu sio changu ni mstaarabu
atakapo tokwa chozi shingo yako halali yangu
kwanza kwetu tw_taka dollar
bugatti, ferrari na sio corolla
so nakukanya
kwa iyoo naomba concentrate (naomba concentrate)
naomba concentrate shemeji (naomba concentrate)
oooh naomba concentrate (naomba concentrate)
napo sema nawe naomba (naomba concentrate)
naomba concentrate
mdekeze adeke ka mtoto
na na adeke adeke ka mtoto
mdekeze adeke ka mtoto
na na iyeee
mdekeze adeke ka mtoto
na na adeke adeke ka mtoto
mdekeze adeke ka mtoto
na na iyeee (adeke adeke)
very serious si unaona ukiniangalia usoni
am very serious na mapenzi nishamwekaga moyoni
leo akitaka njenje (pewa)
kisha akitaka reggea mie twende (sawa)
adeke ajiachie abembe (haya)
hapakatazali la mtende
aah we advertise
shopping nampeleka achague kila size
mapenzi yako hapa i should realize
when she smiles kila time she look amazing
look at you, wee very serious
si unaona hata ukiniangalia usoni
sometimes naingia jikoni
weekend hayuko home mi naenda sokoni
so nakukanya
kwa iyoo naomba concentrate (naomba concentrate)
naomba concentrate shemeji (naomba concentrate)
oooh naomba concentrate (naomba concentrate)
napo sema nawe naomba (naomba concentrate)
naomba concentrate
mdekeze adeke ka mtoto
na na adeke adeke ka mtoto
mdekeze adeke ka mtoto
na na iyeee
mdekeze adeke ka mtoto
na na adeke adeke ka mtoto
mdekeze adeke ka mtoto
na na iyeee (adeke adeke)
كلمات أغنية عشوائية
- die kerzen - baby motoride كلمات الأغنية
- tian puedoma - stress relief exercise 1: breathe كلمات الأغنية
- crayniy - зачем нужна любовь? (why is love needed?) كلمات الأغنية
- suob & cma - buscando trabajo كلمات الأغنية
- scy jimm - the risk كلمات الأغنية
- lil amiri - facetime (a hard song) كلمات الأغنية
- jakie quartz - fandango كلمات الأغنية
- aiko - 歌姫 (utahime) كلمات الأغنية
- jonasogstiandub - pocahontas dub كلمات الأغنية
- 1988 - lufcik كلمات الأغنية