kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

darassa - nikiondoka كلمات الأغنية

Loading...

mwingine hata miujiza hashangai
tumeumbwa tofauti that’s the reason why
mtu akivunja moyo huwezi k_mdai
na moyo unataka ubebe kama vile yai

unanizingua unaniplease i don’t mind
nikaja kuona si we nishai
hakuna nilichofanya kwako nikaweza
hakuna nilichofaa kwako nikapendeza

kuna wakati hisia zinakupoteza
unakuwa mfungwa nje ya gereza
love is blind i lost my mind
mguu nje ndani you don’t concern

labda ningekuwa na moyo wa chuma
wivu machungu yasingeuma
kushindana na upepo unaovuma
hata we usingeweza

nikiondoka utanimiss nikiondoka
nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
nikiondoka utanimiss nikiondoka
nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka

mapenzi yetu kw_ngu sio utani
ukayafanya ngazi unipande kichwani
marafiki wanasema sikujui ndani
they say hey think like a real man
hii ni faida ya mapenzi kama haufurahii
chumbani unawaza mtu hakufikirii
unayempenda kukupenda sio guarantee
i should never go back for my mystery

ni bora kujikaza kuvumilia
kusema kunyamaza kucheka kulia
mambo mengine deep sana i can’t say
record yetu staki hata kureplay

labda ningekuwa na moyo wa chuma
wivu machungu yasingeuma
kushindana na upepo unaovuma
hata we usingeweza

nikiondoka utanimiss nikiondoka
nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
nikiondoka utanimiss nikiondoka
nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...