kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

darassa - my life كلمات الأغنية

Loading...

i’m in a good feeling
give me a call everybody
i’m on my way

ninafanyaga vitendo maneno siongei
let them say si tunatafuta pay
taratibu ndo mwendo na muda hatuchezei
hatuchezei kazi ni kazi don’t play

kutoka kwa ukungu hadi kutakata
kushukuru kwa mungu ukila baraka
salamu kwa mandugu hakuna matata
kula bata kula kuku na kile unataka

kwani nisiwe happy? wamekufa w_ngapi?
na nani atabaki i don’t see
juu chini katikati nimetokea wapi
n0body can stop me you know me

me i never go back naenda mbele kwa mbele
i live my life till the end
na hakuna atayebaki hapa milele
i live my life till the end

i go hussle i go hard
i gon get my money
hata nikikosa sijali
kufika hapa nimepitia mengi njiani
nilipotoka ni mbali
me i never go back naenda mbele kwa mbele
i live my life till the end
na hakuna atabaki hapa milele
i live my life till the end

haters wanahate my life
baba god anabless my life
somebody wanna take my life
kaa mbali wewe this is my life

ukinitaka kunipenda au unichukie
ukitaka tupa taka au uf_gie
ukitaka kunibeep au unipigie
au uzibe masikio hata usinisikie

kujua wanavyoanza kipindi
n_z_changa kuziba njia w_nga
kushuka kupanda kuwaza kuwanda
i’m a survivor wazee husemanga
maisha ndo haya haya

kwani nisiwe happy? wamekufa w_ngapi?
na nani atabaki i don’t see
juu chini katikati nimetokea wapi
n0body can stop me you know me
me i never go back naenda mbele kwa mbele
i live my life till the end
na hakuna atayebaki hapa milele
i live my life till the end

i go hussle i go hard
i gon get my money
hata nikikosa sijali
kufika hapa nimepitia mengi njiani
nilipotoka ni mbali

me i never go back naenda mbele kwa mbele
i live my life till the end
na hakuna atabaki hapa milele
i live my life till the end

nilifundishwa kazi sikukuwa kimwinyi
sikuwa mwoga songa kwa mini
nitaimba na wa kuimba na mimi
nimlaumu mungu kaninyima nini?

i go hussle i go hard
and i go get my money
hata nikikosa sijali
kufika hapa nimepitia mengi njiani
nilipotoka ni mbali

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...