kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

darassa - kama utanipenda lyrics

Loading...

[intro]
abba!
(classic music)
mm
mm
[toto zile type]
uh

[verse 1: darassa & rich mavoko]
mrembo njoo tujenge malengo
nikikutazama naona nyufa kwenye mjengo
unaonekana kama mji wenye upendo
unafanana na mtu alochoshwa na mwendo
si nikupe namba yangu ‘unipigie weekend?
(weekend, weekend, baby)
moyo unasema mchukue huyu mtoto yuko stendi
vile anavyo hema sio kama mtu hapendi
ameuelewa muziki, ’anahofia kucheza
anasema na lugha chafu, ameshakuwa kifimbo cheza
sema nini
na marlow na bembeleza
kwa sera za suma lee ‘na kula chungwa mpaka chenza
eh, shida kujiuguza
mama you hot na uko ndani unaniunguza
sitaki kujua, hata nikijua nitapuuza
ukitaka kula bata uache k_mchunguza
uh!
[chorus]
kama utanipenda
sitojali shida ulizobeba
na kama unataka kucheza
katafute refa wa kukubeba
na kama utanipenda
sitojali shida ulizobeba
na kama unataka kucheza
katafute refa wa kukubeba

[post_chorus: rich mavoko & darassa]
you know i like you
mi nakupenda and i give you want you want, eh
(eh, whatchu want?)
nipe uchizi nidate
hata nikilala kwenye usingizi nifate
(the way you talk, mama)
you know i like you
mi nakupenda and i give you want you want, baby
(eh, whatchu want?)
nipe uchizi nidate
hata nikilala kwenye usingizi nifate

(instrumentals)

[verse 2: darassa]
uh
hakuna single wala movie
mama, kw_ngu you’re my star
mi shabiki yako nasimama hata ukikaa
nanga isha paa, breki ziko dar
jitazame kwenye kioo, ’how beautiful you are
mapenzi ukichaa, mapenzi uchizi
we unacho ukikataa, mwingine inamyima usingizi
mwingine atakesha
mwingine atatesa
mwingine atataka akutumie kama pesa
yanajuana madini, yakikutana
mwanamke anahitaji matunzo ‘na ndo kitu nachofanya
we utasema mi kichaa
k_mbe mwenzako, nafata what i feel inside
uh!
[chorus]
kama utanipenda
sitojali shida ulizobeba
na kama unataka kucheza
katafute refa wa kukubeba
na kama utanipenda
sitojali shida ulizobeba
na kama unataka kucheza
katafute refa wa kukubeba

[post_chorus: rich mavoko & darassa]
you know i like you
mi nakupenda and i give you want you want, eh
(eh, whatchu want?)
nipe uchizi nidate
hata nikilala kwenye usingizi nifate
(the way you talk, mama)
you know i like you
mi nakupenda and i give you want you want, baby
(eh, whatchu want?)
nipe uchizi nidate
na nikilala kwenye usingizi nifate

[hook: darassa & rich mavoko]
unataka nini mama?
usiniumize moyo
mbawa za kupaa?
mi niko loyal
uendeshe motor_car?
punguza uchoyo
nguo za kuvaa?
you’re my everything for me
na ukiwa out, oh whatchu want?
[outro]
mbawa za kupaa?
(baby, wooh)
uendeshe motor_car?
nguo za kuvaa?
na ukiwa out, oh whatchu want?
[drop]
you’re my everything for me
you’re my only one

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...