
darassa - channel

[chorus]
channel
network usizingue unaharibu channel
kanda ya ziwa watu wametega channel
nimezama merelani huku na suka channel
search search channel
channel
nimetoka kuunganisha ma channel
zungusha mpaka una nasa channel
search search searching
[verse]
we cheka cheka kwa kejeri
nakuwekea kitu sp_cial
natoka na umeshika majoker
si una nijua nahodha wa meli
temperature imepanda 100 degrees
my n_gga my n_gga my n_gga please
usini changanyie madawa sahizi
na angalia network zangu niko busy
temperaturе imepanda 100 degrees
my n_gga my n_gga my n_gga pleasе
usi nichanganyie habari sahizi
na angalia channel zangu niko busy
search search searching
fatilia channel
pigia watu ulialzia channel
kamatia line ukipata channel
search search searching
[chorus]
channel
network usizingue unaharibu channel
nairobi city watu wametega channel
nimezama congo kin sasha na suka channel
search search channel
channel
nimetoka kuunganisha ma channel
zungusha mpaka una nasa channel
search search searching
كلمات أغنية عشوائية
- crater - unearth
- tech g - false safety
- super king reza & groovebox - tiffany haddish roger rabbit
- trippie redd - long way home from mars/love scars og version
- the oak ridge boys - i'd still be waiting
- stephanie zelaya - traigo un corazón
- stephanie la rochelle - only us
- you know the drill - repose
- amery rey tuesta - let me be
- isabel pantoja - a tu vera