dantiz - near by كلمات الأغنية
song: near by
artist: dantiz feat gq
prod. by: gq & dantiz
vers one:
my love sikiliza nakuimbia
tenzi za mahaba zenye uwingi wa hisia
ona umenipiga shaba kwenye penzi nshajifia
tena we ni langu shada uwa zuri unanukia
baby i’m right here, you don’ have to fear
tufwatane kama vile kiuno na mkia…
na you the best i ever had, i call you my dear
m y boo you gotta gwaan, you the queen of tanzania
mammy mi natapatapa kwenye kona za mtaa
naninavyo nyatanyata n-z-winda tu chapaa
j-po nsije toka kapa mi na we tuishinde njaa
wasikushawishi mapapaa ukaniacha kwa mataa
kwako ndo nainvest sio bank ya akiba
faida ni lako penzi wala sihitaji riba
kwako nafakamia kwa wengine nimeshiba
tena nishaweka nia ka kwa sala ya msiba
i’m so dead to ya basi binti nipe stara
just open your heart ndo kaburi mi lala
we’ll never be apart sito run kama swala
basi kuwa na imani kama muumini na sala
chorus
i wanna get near by you
usiniache niondoke
i wanna get close to you
usiniache mi mpweke x2
vers
una voice kama linah j-po hufanyi r n’ b
you the best designer kama charles louis v
nimeiacha zina i won’t give you h.i.v
na si tattoo ni ina baby that’s what i need
hebu kwanza check baby uko so s-x
your love is so sweet kama vile utamu wa cake
gq on the mix shwarty always makes me race
so you the perfect pepsi just come to cool my thirsty
dedication song hii zawadi kwako mrembo
kama king kong nitakulinda na scandals
please come home boo my room is full of candles
we about to party with ya body nipe pendo
aaah! lemme handle you tonight ( nearby you)
aaah baby makes me feel alright(close to you)
cause you the one shwarty i real wanna hold
njoo njoo chumbani i feel so d-mn cold
unataka shopping twende zetu abroad
call me your sponsor kila kitu nita afford
chorus
كلمات أغنية عشوائية
- lil double 0 - area 51 (remix) كلمات الأغنية
- derrick branch - 2. jeepers creepers كلمات الأغنية
- 陳蕾 (panther chan) - 沙門 (śramaṇa) كلمات الأغنية
- mike taveira - sex for breakfast كلمات الأغنية
- hilyxs - advance كلمات الأغنية
- брутто (brutto) - cadillac كلمات الأغنية
- tom snowdon - unravel كلمات الأغنية
- rie tanaka - shizukana yoru ni (romanized) كلمات الأغنية
- evil incarnate - twist of the serpents head كلمات الأغنية
- delano rap - come down كلمات الأغنية