kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

damian soul – kaumba كلمات اغاني

Loading...

kaumba, muumba kaumba, (muumba oh)
kaumba muumba kaumba (you all ready know)
kaumba, muumba kaumba
kaumba (damian soul) fire
ni wewe ni wewe
ninakurequire kurequire (ah ah ah ah ah)
she’s on range
oh ni wewe oh ninakurequire
bila wewe ni kubaya
aliwaumba nyuki alijua kwamba tunahitaji asali
hakuishia hapo muumba maajabu aliitawanyisha bahari
ubavu ni kushoto nimetoka hapo ili nifurahi nawe darling
ndiwe yangu fahari sifa zako n-z-sema kila mahali
ukweli mi nakupenda(penda)
kila kona kila ukanda
ndio maana nimeganda
sina pengine pa kwenda
uuh kama kupe kwako nimeganda
muunga kaumbaa mahabuba
you’re my sweet love
nakurequire (ni wewe ni wewe)
nakurequire (mi nakurequire)
kw-ngu the heart desire (bila wewe ni kubaya)
nakurequire (oh ni wewe)
nakurequire (oh ninakurequire)
you are my heart desire (bila wewe ni kubaya)
kaumba eh (kaumba)
kaumba eh (muumba kaumba)
muumba kaumba eh (kaumba)
kaumba (muumba kaumba)
kaumba eh (kaumba)
kaumba woh (muumba kaumba)
muumba kaumba eh (kaumba)
kaumba (muumba kaumba)
muumba nampa sifa katuunganisha najisikia fahari
na wala sitojuta hakika moyo umeshakubali
na mahaba unayonipa yananidatisha haki ya manani
kwako nishafika naburudika mwingine sitamani
ukweli mi nakupenda(penda)
kila kona kila ukanda(kanda)
ndio maana nimeganda
sina pengine ntapokwenda
kama kupe kwako nimeganda
muumba kaumba si haba
nishayabwaga manyanga kwako wewe kimwana
nakurequire (ni wewe ni wewe)
nakurequire (mi nakurequire)
kw-ngu the heart desire (bila wewe ni kubaya)
nakurequire (oh ni wewe)
nakurequire (oh ninakurequire)
you are my heart desire (bila wewe ni kubaya)
kaumba eh (kaumba)
kaumba eh (muumba kaumba)
muumba kaumba eh (kaumba)
kaumba (muumba kaumba)
kaumba eh (kaumba)
kaumba woh (muumba kaumba)
muumba kaumba eh (kaumba)
kaumba (muumba kaumba)
kaumba
muumba oh
you all ready know
kaumba
damian soul
v-money on the track
set on fire