kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

da wyre - chuki كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
na na na na na na…
na na na na na na…
na na na na na na…
na na na na na na…

[verse 1]
ni sababu gani mwanitenda hivi
uwongo mwanena kunihusu mimi
hamnifahamu hamjui
chenye nafanya maishani
mw_ngu nyumbani
mw_ngu nyumbani
mijidai eti nyie marafiki
k_mbe nia zenu zilikuwa kundi
kunitenganisha na mpenzi
wa roho yangu na kuniacha
mashakani, taabani

[hook]
ni chuki, ndio na hisi
nikiwaza jinsi
mlivyojitolea kuniudhi
bila matokeo yaani

ni chuki, ndio na hisi
nikiwaza jinsi
mlivyojitolea kuniudhi
bila matokeo yaani

[verse 2]
mambo yenu mi sishughuliki nayo
mnavyoishi mimi sina hoja nayo
kinachonihusu si lazima
mkifahamu na kushinda
mkipiga domo
mkipiga domo
mlichotenda kw_ngu kweli hakifai
kiw_ngo cha unchungu mlinipa yaani
sina heshima kwenu tena
ukuta wa chuki mlijenga
kati mi nanyi
kati mi nanyi

[hook]
ni chuki, ndio na hisi
nikiwaza jinsi
mlivyojitolea kuniudhi
bila matokeo yaani

ni chuki, ndio na hisi
nikiwaza jinsi
mlivyojitolea kuniudhi
bila matokeo yaani

[bridge]
na na na na na na…
ni shida kuamini yaani
na na na na na na…
kiw_ngo cha uchungu mlionipa
na na na na na na…
heshima kwenu mimi sina tena
na na na na na na…
basi chuki ndio mimi nahisi

[hook]
ni chuki, ndio na hisi
nikiwaza jinsi
mlivyojitolea kuniudhi
bila matokeo yaani

ni chuki, ndio na hisi
nikiwaza jinsi
mlivyojitolea kuniudhi
bila matokeo yaani

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...