d voice - no كلمات أغنية
[verse 1]
et mimi huyo nianze kuhangaika na mapenzi saa hii
labda niwe nimerogwa nina kichwa
et mimi huyo kwanza hata hayo mapenzi yenyewe siwazi
bora hata ninywe soda nijipe raha
[pre chorus]
oh my god nimeamua nitafute hela, hela! hela! hela!
mapenzi siwenzi yamenishindwa, oooh mapenzi
yasha nipeleka mpela, mpela, mpela, mpela
siwenzi rudia huo ujinga
bora nibaki single, nisake bingo
nikeshe studio na trone, nitafute nyimbo
bora nibaki single, nisake bingo
nikeshe studio na trone, nitafute nyimbo
[chorus]
aah kwa mambo ya mapenzi, na mimi no! no! no!
sitaki shobo mwenzenu no! no! no!
mambo ya malavidavi na mimi mwezenu no! no! no!
ooh no! no! no! no! no! nooo! no no no
[verse 2]
nyie serious, nilishateswaga na mapenzi nikataka jiua
kitanzi k_mbe ulikuwa ni ujinga na utoto sijakua
moyo wote gazi, moyo wote gazi
maumivu yalinizidi nikashindwa hata kupumua
saivi siyawazi, nimemwachia maanani, kikubwa dua
ah saivi nipo okay, party everyday
mnao teseka eeh, poleni! poleni!
[pre chorus]
oh my god nimeamua nitafute hela, hela! hela! hela!
mapenzi siwenzi yamenishindwa, oooh mapenzi
yasha nipeleka mpela, mpela, mpela, mpela
siwenzi rudia huo ujinga
bora nibaki single, nisake bingo
nikeshe studio na trone, nitafute nyimbo
bora nibaki single, nisake bingo
nikeshe studio na trone, nitafute nyimbo
[chorus]
aah kwa mambo ya mapenzi, na mimi no! no! no!
sitaki shobo mwenzenu no! no! no!
mambo ya malavidavi na mimi mwezenu no! no! no!
ooh no! no! no! no! no! nooo! no no no
كلمات أغنية عشوائية
- red molly - yellow house كلمات أغنية
- stranger thangs - more to you كلمات أغنية
- blacker face - weird dreams كلمات أغنية
- steve grand - safe and sound كلمات أغنية
- gnar كلمات أغنية
- rosemary clooney - joy to the world كلمات أغنية
- eli & fur - parfume كلمات أغنية
- yung_squad - ready to die. كلمات أغنية
- of montreal - peace to all freaks كلمات أغنية
- nights of malice - broken mirror كلمات أغنية