kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

d voice - mpenzi taarifa كلمات الأغنية

Loading...

heeeh mmmh
mpeni taarifa nnaeshea nae
mwambieni bado nipo nipo sanaa
hadi kibanda nisha jenga nae
na tunaelekea kuzaa na wanaa
asa nimuache ntaishije mjini
nimuache nimuachie nanii
siendi popoteee

asa ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa)
ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa)
eti ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa)
ampende pekеake ye amekua babaakе (si hapo sasa)

haaoooh hoooh
mmmh eeeh

ukila masaki si twala ostabey
koko mishikaki silva ocean dubei
_n_lipa vikodi _n_lipa kodi
kaniagizia kindinga kiranger voggie
tatizo lako shoga chumbani haunogi
kutwa kifo cha mende haujui ata dog
kwako akileta mafuta abaya mitandio
mie pia kw_ngu supa miamala misalio
tutabanana hapa hapa tutabanana
haaaah (kama leo kwako kesho kw_ngu twapokezana)
oooh tutabanana hapa hapa tutabanana
kama subian mie makata tutajuana
asa nimuache ntaishije mjini
nimuache nimuachie nanii
siendi popoteee

asa ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa)
ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa)
eti ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa)
ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa)

aya sasa ukipanda mi nashuka ka daladala
eeh na ukijitia kususa wenzako twalaa
eeh ukipanda mi nashuka ka daladala
ukijitia kususa wenzako twalaa
na ukisusa susa susa (wenzako twala)
si una susa susa susa (wenzako twalaa)
thubutu kususa susa susa (wenzako twala)
eh jitie kususa susa susa fyyuuu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...