kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

d voice - kama wengine كلمات الأغنية

Loading...

oya we unajifanyaa unajifanya mtu wa dini mchana
usiku kidimbwi unagombania mabwana
unajifanya ujatumika msichana
sa nimechomeka sa mbona ijabana
oya we (we malaya tu kama malaya wengine)
oya we (we utumbo tu kama utumbo mwengine)

aah snichi sio mwana mwana sio snichi
nikiwanae shemu k_mbe nikiondoka sweet
viushauri penzi langu kunipatia
k_mbe kwa nyuma bebe yangu unaivizia
we snichi tu kama ma snichi wengine
oya we ( we kuadi tu kama kuwadi wengine)

unajufanya hupendi waganga unapenda mashekhe
kujifanya dogo janja kama hujabalehe
k_mbe wewe na mimi wote wale walee
tofauti mganga wako wabuza w_ngu watandalee
oya wewe ( we mchawi tu kama wachawi wengine)
oya wewе we ni mw_nga tu kama mw_nga wengine

unahеshimu ramadhani un_z_ni shabani
mchana stara usiku viwanja
sa maubiri yako unamuhubiria nanii
wewe na mimi wote kesho motoni
we shetani tu kama shetani wenginee
oya wewe we firauni tu ka firauni wengine
asa nikilewa bwi msiniache mnibebe
nikiwa tungi bwi msiniache mnibebe
nikivesha bwi msiniache mnibebe
nikipuliza bwi msiniache mnibebe
aya nibebe nibebe nibebe nibebe

oya kwenye ofa za bia msiniache mnibebe
mkienda viwanja msiniache mnibebe
wanangu wasafi fest msiniache mnibebe
we kwenye vibe msiniache mnibebe
aya nibebe nibebe nibebe nibebe

sawa mniite chizi mwendawazimu
wewe apo msukule (kule)
kama ulikula changu kasimu
basi hakiendi bure
asa muda wakulipa muda wakuchojoa
muda wakulipa muda wakuchojoa
dada muda wakulipa (lipa)
muda wakuchojoa (chojoa)
muda wakulipa (lipa)

baba muda wakuchojoa
nilipotoka mwenyenyumba kanivurula
kanipandishia kodi kafikwa zadhurara
nilipotoka mwenyenyumba kanivurula
mpka nahisi joto kama kusaula
sa na wewe saula sasa mwanangu saula sasa (saula)
saula sasa nione saula sasa (saula)
saula sasa wanangu saula sasa (saula)
saula saaa ivue saula sasa (saula)
oya wakilewa wao wanavibe tukilewa si tunastress
sa nawanywea pombe niwashe moto kudadek
wakilewa wao wanavibe tukilewa si tunastress
sa nawalia kitu niwashe moto kudadek

niwashe nisiwashe (washa)
wanangu niuwashe (washa)
niwashe nisiwashe (washa)
wahuni niuwashe (washa)
nauliza niwashe (washa)
ama nisiwashe (washa)
machizi boti niwashe (washa)
amaa ni si waa

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...