kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

d voice - chizi wee كلمات أغنية

Loading...

[intro]
oke, oke
jinnn

[verse 1]
huyo my wako wewe, ndio my w_ngu mimi
anachokupa wewe ndio ananipa mimi
wewe akikupa pesa mimi ananipa chini
tuko salesale wewe unavimbia nini

[chorus]
chizi we
chizi we

[verse 2]
unaniletea shinu shinu shinu unanuna
mi k_muacha siwezi maana ananipa huduma
we kunywa sumu ufe kama inakuuma
we akikupa mbele mi ananipa
na utamu utamu napata vacation
ni kula kubata sa nitanzaje
k_muacha we unadata
unawashwa nimuache kwa nini sasa
kwake kila kitu napata
ananipa pesa sasampa
we unawasha unawasha acha hiyooo
[chorus]
chizi we
chizi we

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...