d voice ft. zuchu - nani كلمات الأغنية
he one two one two eh maiki cheki (maiki cheki)
tunajump jump eh kama kitenesi
eeh! kama kalambwanda nda nda kalambwasi
na kama huna msambwandaa usiingie kati (ayeee)
alulue alulueee (alulue alulueee)
aah kama mtu hachezi mzabue (tumzabue tumzabue)
sema alulue alulueee (alulue alulueee)
kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe)
eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
mimi ninaweza kulicheza sagarumba
nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
maftaaa taa mafta taa mafta taaa
yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
aaamina amina na mwajuma
wanaringa hawa kima
k_mbe wanauzaa…
usiseme hivyoooo
kilode kilode kilodee
watoto wadogo wanataka nipotee
haa! labda nif_kiwe chini wala wasiwaongopee
hee! shindo langu mimi mjikusanye wote
haya sema shkamoo dada (shkamoo dada)
shkamoo kaka (shkamoo kaka)
mniamkie shkamoo mama (shkamoo mama)
shkamoo baba (shkamoo baba)
alulue alulueee (alulue alulueee)
ukiona hachezi mzabue (tumzabue tumzabue)
sema alulue alulueee (alulue alulueee)
haa! kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe)
eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
mimi ninaweza kulicheza sagarumba
nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
aah twende maftaaa taa mafta taa mafta taaa (yana ninii)
yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa (eti mpaka wapi)
mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii (mamaaa)
d voice ft. zuchu _ nani mp3 download
كلمات أغنية عشوائية
- viktolemehs - банда(banda) كلمات الأغنية
- el chombo & el tuox - me vale v3rg4 كلمات الأغنية
- molina molina - siento que muero كلمات الأغنية
- chanan - more than myself كلمات الأغنية
- ingrid e daiane - eu permitir o vento كلمات الأغنية
- ylva - bli hos meg كلمات الأغنية
- soiree (trap) - soiree - vad rosu كلمات الأغنية
- kate rusby - jolly plough boys @20 كلمات الأغنية
- orgone - burn كلمات الأغنية
- arbi - when it rains كلمات الأغنية