congress musicfactory - twakutukuza كلمات الأغنية
Loading...
twakutukuza
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
[ubeti]
mwenye enzi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 1]
twakui-inua
wastahili sifa utukufu
pamoja
twainuka…..twa….ku
[pambio ya 1]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twakutukuza –
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
mwenyezi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 2]
u mwaminifu
unasi katika safari
pamoja
kwa sauti twa ku…..…
[pambio ya 2]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa ku tu kuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
milele twa ku
[pambio ya 3]
tutukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa-kutuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
tunakupa sifa
كلمات أغنية عشوائية
- isly - better than كلمات الأغنية
- vikingarna - skall du någonsin bli min كلمات الأغنية
- costi - gambiitti كلمات الأغنية
- eden darleen - 4 كلمات الأغنية
- traylblazor - bless my hustle [yaba yoo] كلمات الأغنية
- gouge away - newtau كلمات الأغنية
- kwadratura koła - dom كلمات الأغنية
- пустоши (pustoshi) - у меня / у тебя (i have / you have) كلمات الأغنية
- arijit singh & sona mohapatra - chori chori كلمات الأغنية
- codiciado, joaquin medina & sheeno - gabachas كلمات الأغنية