kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

congress musicfactory - furaha كلمات الأغنية

Loading...

furaha

[ubeti 1]
furaha, yako mw-ngaza kw-ngu
furaha, yako yakamilisha
furaha, yaf-kuza giza
kushika njia zako
furaha

[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu

[ubeti 2]
furaha, yarahisisha mzigo
furaha, nguvu yangu vitani
furaha, nguvu ya utiifu
kushika njia zako
furaha

[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu

[ubeti 3]
furaha,  huniuwisha nafsi
furaha, penda ulimwengu wetu
furaha, kuelekea kwako
kushika njia zako
furaha

[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
furaha…..

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...