conboi - hawajui كلمات الأغنية
intro
yeah huh
verse
siku nikinunua riffle usidhani itakuwa ni merciful
sintouwa rappers nikiuwa itakuwa na personal
do this for passion yall sifanyi kama fashion show
and thats for show kabla kunijua nishakuwaga nnarap before
sky sio limit my future so bright and i can feel it
ukinikuta niko high na niko makini
i ain’t kidding sitaki b_tches they dont tease me nah
i dont even want your p_ssy if is easy hunny
can’t pay for p thats not my motherf_ckin business
wala sihusiki im just a m_th_rf_ckin witness
fat ass personality they never relax
looking for love on the gram and they always do that
why you do that? sitaki kujua lets go back rap now
mwenyewe sijawahi kujua eti kuna king wa trap nah
nimekaa pembeni nikiwacheki these rap clowns
they f_ck with conboi wakati unajua he’s rock now
now ! let me show how to do this everybody go and prove it
nani teacher nani student nani king nani queen nani picture nani movie nani sifa nani ujuzi nani kichwa nani mpuuzi huh!
hahah! and this the typa sh_t you gotta dedicate to all them haters man!
and make sure you dedicate to all them haters! you feel me !
hahaha!
chorus (tuphy)
(hawajui) mziki ni kipaji kutoka kwa maulana
(hawajui) si tutatoboa hata kama wakibana
(hawajui) hawajui yeaah! yeah
(hawajui) yeah
verse
yeah huh! as we proceed the yeah na nchi ikipitia stag flate
mi na masikini wenzangu tuko tuna count days
na ipo clear tunakaza coz we have faith
believing tutapata all the matters uki translate hii concept
for god’s sake lets just find some cake
coz maisha tunayoishi these days sio mpaka u graduate
inabidi ubishi na uwe smart up in the head
maana tunaishi msituni full of snakes gotta concentrate
huh! pesa imekuwa dini siamini mtu
mapenzi hayafichiki sikuhizi siamini busu
nenda uka hustle j_po ulipie luku
na ufanye chochote hata tuuzie upupu
na hata ukiwanacho kidogo fanya usaidie ndugu
wapo wenye uchu atashukuru hata umpatie buku
coz pesa sio kila kitu thamini utu
and say no to xenophobia tupa hiyo mitutu
waafrika wenzetu wanataka hata kutumeza
wakati afrika yenyewe ilikuwa ni part of asia
tulikuja south ilimradi kujiendeleza so what the f_ck unanieleza
ikiwa najua hii ardhi ni yake mungu vya kwetu viti na meza
so tunachokifanya ni kuwekeza tuu huh!
na hivi vitu wala sikuelekezwa school
coz hata hizo syllabus tuliletewa tuu
chorus (tuphy)
(hawajui) mziki ni kipaji kutoka kwa maulana
(hawajui) si tutatoboa hata kama wakibana
(hawajui) hawajui yeaah!
(hawajui) yeah
كلمات أغنية عشوائية
- the velvet teen - the manifest كلمات الأغنية
- melly jade - hunter كلمات الأغنية
- blood youth - spineless كلمات الأغنية
- taï z (y&w) - le temps est traître كلمات الأغنية
- sophia viggiano - black and blue كلمات الأغنية
- dooz kawa - gel douche au chocolat كلمات الأغنية
- alley boy - intro (definition of fuck shit 3) كلمات الأغنية
- animeme rap battles - psy vs. kim jong-un كلمات الأغنية
- alan menken - topsy turvy, pt. 2 كلمات الأغنية
- beat king - no sleep كلمات الأغنية