kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

conboi - commercial break lyrics

Loading...

intro
(gih cue on another one)

verse conboi
nishasikia watu wanakufa kwa ajili ya ciggaretes
ila sijasikia cha ukucha kinaweza kuuwa yet
na ukifuatilia utkuta tuu kwenye internet
wanaoshikiliwa ni wanaokutwa wakilipua jet
na nishalipua jet now n_gga i need a gas light
siogopi police napuliza kwenye sky aight!?
dont be so uptight nishaanza kuona mna back bite
n0body go to jail for cross in the streets against the lights
i guess it’s like amani ipo tz uki_classify
ila kilasiku tuko busy tryin to passify
this f_cking life ya bongo unaweza ukawa kichaa
wahuni ndio tuna survive , alotta hommies gone it feels so f_cking bad
sh_t is real nahitaji thrill to chill
crunch time n_gga gotta bills for real
vyuma vimekaza ila im never gonna steal
coz mwenyewe nakaza najua kupata ni peace meal
aaargh! grown man najua sijawahi zingua
naridhika nnachopata cha mtu sitachukua
napambana coz najua naamini kila hatua ni dua
nish_gundua unaemuamini ndie anaekuuwa
na ishakuwa desturi sikuhizi mpaka washua nao w_n_lipua
na sio rahisi kuwagundua maana wanauchubua
lakini wahuni kama man pua ndio wanakisanua popote hata mchana kwenye jua huh!
na unavyojua mtu akishastua
wenge likipanda anaweza kulala hata kwenye mvua
ndio maana wakituona stoners wanahisi tun_z_ngua
mtaani tukipishana wanahisi tutawakwapua huh!
watu wakiamua , wanaweza hata kukuchafua
unaweza hata k_mpasua anayejifanya anakujua
atafanya kakunja pua ajifanye kasikia puya
hata kama sio mgonjwa atajifanya anasikia mafua huh!
ma_rastafari huh! wana_believe
doobie inasaidia huh! stress relief
na kama inakutesa grief huh! you need a leaf huh
dont sip no alcohol you dont need that sh_t !! shiiiit !!

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...