
collins pinky - yesu anaweza كلمات أغنية
Loading...
yesu unipendaye
kwako nakimbilia
ni wewe utoshaye
mwovu akinijia;
yafiche ubavuni
mwako maisha yangu;
nifiikishe mbinguni
wokoe moyo w_ngu
ngome nyingine sina;
nategemea kwako
usinitupe bwana
nipe neema yako
ninakuamania
mwenye kuniwezesha;
shari wanikingia
vitani wanitosha
nakutaka mpaji
vyote napata kwako;
niwapo muhitaji
utanijazi vyako;
nao waangukao
wanyonge wape nguvu;
poza wauguao
uongoze vipofu
bwana umeniosha
moyo kwa damu yako;
neema ya kutosha
yapatikana kwako;
kwako bwana naona
kisima cha uzima;
mw_ngu moyoni bwana
bubujika daima
كلمات أغنية عشوائية
- itsaedanhill - reaper 187 كلمات أغنية
- ryan knight - sometimes it is better كلمات أغنية
- smokey wit a z - lover man كلمات أغنية
- haych & novaleit - wet nurse كلمات أغنية
- jay vest - city of lies كلمات أغنية
- $ierra (pol) - flexin finessin كلمات أغنية
- cici ware - juice box كلمات أغنية
- vera matović - dva jastuka bela كلمات أغنية
- officialmio - abyss كلمات أغنية
- qaab - prime time كلمات أغنية