cmb prezzo - mafans كلمات الأغنية
[intro]
beat ya clemo
2004
prezzo
let’s go!
[hook]
mafans mi nawapenda wo-, nawapenda wo- (wote)
ma-haters kama hamnipendi
kuleni sembe, meza wembe
nawapa life kama saida karoli
na wenye wivu wajinyonge
mafans mi nawapenda wo-, nawapenda wo- (wote)
[verse 1]
mafans mi nawapenda wote
na ma-autographs nita-sign siku zote
nawashukuru walioni-hold down
na kwa hii rap game sitawa-let down
i promise, mi nawapa promise tu
album yangu itakuwa hits tupu
so, you better act like you know
wakiuliza nani anaroga sema prezzo
oh, really though, once again, here we go
mr. jackson knocking knocking on your door
nawapa vitu, haters nawapa mambo
nawapa vidonge wakitema shauri yao
mi na-count blessings zangu jo
na mpende msipende ndivyo ilivyo
on my two still moving on strong
waliodhani sita-make it d-mn you’re dead wrong
na kama uko down basi sing my song
kama ku-floss is wrong, i can’t be right
na kama uko down basi sing along
kama ku-floss is wrong mazee, i can’t be right
mafans…
[hook]
mafans mi nawapenda wo-, nawapenda wo- (wote)
ma-haters kama hamnipendi
kuleni sembe, meza wembe
nawapa life kama saida karoli
na wenye wivu wajinyonge
mafans mi nawapenda wo-, nawapenda wo- (wote)
[verse 2]
verse two na-dedicate kwa ma-fools wenye phd’s
ma-playa hating degrees
wanataka k-mvuta prezzo down
lakini mimi nawa-show haiwezekani, clown
all this kwa sababu ya ma-dame
wao wanasema nawa-drive insane kwenye membrane
and i’m like “sure, you’re right”
and if you’re down with cmb for sure we’ll be tight
and if you’re not down basi take a hike
coz i got my fans and with that i’m alright
so, siwahitaji nyie wala hamnibabaishi nyie
n-z-di kuzipokea tele baraka zangu nikisonga mbele
critics, siwahitaji nyie wala hamnibabaishi nyie
n-z-di kuzipokea tele baraka zangu nikisonga mbele
haya twende
everyday napokea baraka zangu nikisonga mbele
haya twende
kila siku napokea baraka zangu nikisonga mbele
mafans…
[hook]
mafans mi nawapenda wo-, nawapenda wo- (wote)
ma-haters kama hamnipendi
kuleni sembe, meza wembe
nawapa life kama saida karoli
na wenye wivu wajinyonge
mafans mi nawapenda wo-, nawapenda wo- (wote)
[verse 3]
sasa thanks to my fans nimekuwa superstar
thanks to the radio presenters
waliopiga ngoma zangu, rewind selector
dj styles and… the heavy hitters
in general i want to shukuru the media
for making a brother like me get even bigger
cmb my family nawaona
forget the haters let’s make this paper
adam and the whole staff of insyder
thanks for holding me down mi nawapenda
wote california yote
clemo wazi jo kwa kunipa genge
big ted, tru blaq na big kev
thanks to y’all mazee your boy’s breaking bread
off my head nawapenda wo-
just a couple jamaas that i know
oh, mafans mi nawapenda wote
autographs nita-sign siku zote
mafans mi nawapenda wote
na ma-autographs nita-sign siku zote
[hook]
mafans mi nawapenda wo-, nawapenda wo- (wote)
ma-haters kama hamnipendi
kuleni sembe, meza wembe
nawapa life kama saida karoli
na wenye wivu wajinyonge
mafans mi nawapenda wo-, nawapenda wo- (wote)
كلمات أغنية عشوائية
- petit voyou - toussa كلمات الأغنية
- dylan kanner - in the operating room كلمات الأغنية
- string boys - thank you, i'm sorry, i love you كلمات الأغنية
- the frights - faceless moon كلمات الأغنية
- jump man dat boi - v4mp1r3 كلمات الأغنية
- cocoa sarai - big dummy كلمات الأغنية
- zach diamond - levels كلمات الأغنية
- shirley bassey - there's no such thing as love كلمات الأغنية
- dwa sławy - catcall كلمات الأغنية
- "damn drone" - toxic كلمات الأغنية