kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

cloudy 9 - zawadi كلمات الأغنية

Loading...

[intro: certified]
lalalaa, lalalah
lalalah lalalalah
lalalaa, lalalah
lalalah lalalalah

[intro: cloudy 9]
if you gotta beautiful girl
beatiful woman
and you know
she truely loves you
don’t let her go

[chorus: certified]
wewe kw-ngu ni zawadi
nliyopewa na mungu
maisha mw-ngu nakuhitaji
uwe mama wa wanangu

wewe kw-ngu ni zawadi
nliyopewa na mungu
maisha mw-ngu nakuhitaji
uwe mama wa wanangu

[verse 1: cloudy 9]
kwanza sijawahi pendwa kama navyopendwa nawe
nimeshatendwa mara nyingi na warembo zaidi ya we
thats why najiuliza kipi kimekuvutia
bado uko nami miaka mingi hujakimbia
hubabaiki na mastaa vigogo wenye chapaa
umeridhika kuwa nami kwenye shida kwenye raha
daah!, you’re so amazing girl, i let people know
even though they can hate but you know
listen honey i dont wanna be the popcorn
kuruka ruka kila siku kama champagne
ukiniacha ni mateso zaidi ya depo
wewe kw-ngu ni zawadi tena special

[chorus: certified]
wewe kw-ngu ni zawadi
nliyopewa na mungu
maisha mw-ngu nakuhitaji
uwe mama wa wanangu

wewe kw-ngu ni zawadi
nliyopewa na mungu
maisha mw-ngu nakuhitaji
uwe mama wa wanangu
lalalah

[verse 2: cloudy 9]
nimezunguka kila kona, bado sijaona
mrembo kama we mwenye sifa na heshima
na ndio maana nikaona ni vema tufunge ndoa
nisije nikachelewa siku zote nikajutia
najua wapo wengi wenye uzuri zaidi yako
ila we unabakia kuwa chaguo langu special
usijaribu kwenda mbali nami
utaniumiza siku zote ntaishi kwa huzuni
listen honey i dont wanna be the popcorn
kuruka ruka kila siku kama champagne
ukiniacha ni mateso zaidi ya depo
wewe kw-ngu ni zawadi tena special

[chorus: certified]
wewe kw-ngu ni zawadi
nliyopewa na mungu
maisha mw-ngu nakuhitaji
uwe mama wa wanangu

wewe kw-ngu ni zawadi
nliyopewa na mungu
maisha mw-ngu nakuhitaji
uwe mama wa wanangu

[verse 3: certified]
j-po maisha yana changamoto
naomba mpenzi nivumilie
tufunge ndoa na tuzae watoto
maisha mema tuwalee wakue
tukipata dagaa, tushukuru maanani
tukilala na njaa, siri yetu ya ndani
wewe kw-ngu ni zawadi
maishani mw-ngu nakuhitaji

[chorus: certified]
wewe kw-ngu ni zawadi
nliyopewa na mungu
maisha mw-ngu nakuhitaji
uwe mama wa wanangu

wewe kw-ngu ni zawadi
nliyopewa na mungu
maisha mw-ngu nakuhitaji
uwe mama wa wanangu

[autro: certified]
lalalaa, lalalah
lalalah lalalalah
lalalaa, lalalah
lalalah lalalalah
lalalaa, lalalah
lalalah lalalalah, zawadi
lalalaa, lalalah
lalalah lalalalah
lalalala, lalalalh, zawadi

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...