clint fierce - kidogo كلمات الأغنية
verse 1
agiza shot ya takila
navile ulivyominya we k!ller
aste aste kabla ujanipa nimeridhika
mate mate nikishameza najiridhisha
sipimi mizani
nimetuliza gambani
mtoto christina milani
mmangu mangu muilani
bridge :
nikikosa penzi lako naparalyze, (na paralyze)
ila ukinipa ni paradise (ooh paradise)
chorus :
siunipe kidogo baby
(haya weh)
niongezee tena
(haya weh)
oooh yeah!
(haya weh)
kidogo weh!
(haya weh)
usichoke mapema!
verse 2
hicho kiuno round
the way u talk
usije ukaniona kolo
leo…nyama kwa nyama
mimi na yeye!
zileinuka inama
nakesha nayeye!
ai baby (adodo!)
yani toitoi (adoadoado)
kama koni (adodo)
-n-lamba queeni
bridge :
nikikosa penzi lako naparalyze, (naparalyze)
ila ukinipa ni paradise (ooh paradise)
chorus :
siunipe kidogo baby
(haya eh)
niongezee tena
(haya eh)
oooh yeah!
(haya eh)
kidogo weh!
(haya eh)
usichoke mapema!
outro :
mhmmm baby!
baby mwaaah!
oooh love!
nakupenda sana
nakupa moyo
hizi hisia
karibia
unaingia…mama!
(yebaaaaaah!)
كلمات أغنية عشوائية
- austin wintory, tripod - the trial - green edition كلمات الأغنية
- cawston - strangers كلمات الأغنية
- grioten - byebye كلمات الأغنية
- grim sickers - return of the tiger كلمات الأغنية
- mamazi & pouriya adroit - ed hardy كلمات الأغنية
- kentucky gentlemen - leave right now كلمات الأغنية
- ג'פס - ahava shel birion - אהבה של בריון - yepes (il) كلمات الأغنية
- rubbur - sick كلمات الأغنية
- ghost in stereo - corrosion كلمات الأغنية
- vlaho paljetak - ajme meni...! كلمات الأغنية