
christopher tin - baba yetu (feat. soweto gospel choir) كلمات أغنية
baba yetu, yetu uliye
mbinguni yetu, yetu, amina
baba yetu, yetu, uliye
m jina lako e litukuzwe
baba yetu, yetu uliye
mbinguni yetu, yetu, amina
baba yetu, yetu, uliye
m jina lako e litukuzwe
utupe leo chakula chetu
tunachohitaji utusamehe
makosa yetu, hey
kama nasi tunavyowasamehe
waliotukosea, usitutie
katika majaribu, lakini
utuokoe, na yule, milele na milele
baba yetu, yetu uliye
mbinguni yetu, yetu, amina
baba yetu, yetu, uliye
m jina lako e litukuzwe
baba yetu, yetu uliye
mbinguni yetu, yetu, amina
baba yetu, yetu, uliye
m jina lako e litukuzwe
ufalme wako ufike utakalo
lifanyike duniani kama mbinguni, amina
baba yetu, yetu uliye
mbinguni yetu, yetu, amina
baba yetu, yetu, uliye
m jina lako e litukuzwe
baba yetu, yetu uliye
mbinguni yetu, yetu, amina
baba yetu, yetu, uliye
m jina lako e litukuzwe
utupe leo chakula chetu
tunachohitaji utusamehe
makosa yetu, hey
kama nasi tunavyowasamehe
waliotukosea, usitutie
katika majaribu, lakini
utuokoe na yule msiba milele
baba yetu, yetu, uliye (yetu, amina)
m jina lako e litukuzwe (baba yetu)
baba yetu, yetu, uliye (yetu, amina)
m jina lako e litukuzwe (baba yetu)
ooooo
كلمات أغنية عشوائية
- accidental superhero - milk & honey كلمات أغنية
- accidental superhero - don't care anymore كلمات أغنية
- accidental superhero - brainiac كلمات أغنية
- missy misdemeanor elliott - party time كلمات أغنية
- missy misdemeanor elliott - i'm not perfect كلمات أغنية
- missy misdemeanor elliott - let me fix my weave كلمات أغنية
- missy misdemeanor elliott - spelling bee كلمات أغنية
- missy misdemeanor elliott - it's real كلمات أغنية
- missy misdemeanor elliott - let it bump كلمات أغنية
- missy misdemeanor elliott - pump it up كلمات أغنية