kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

christina shusho - pendo la mungu كلمات الأغنية

Loading...

naona pendo
kubwa mno latoka kwa mwokozi w-ngu
niteleka na maji mengi yatembeayo baharini

lanitolea tumaini
ya kwamba nitatiwa nguvu
na niwe mhodari
kwa pendo kubwa la mwokozi
lanitolea tumaini
ya kwamba nitatiwa nguvu
na niwe mhodari tena
kwa pendo kubwa la mwokozi
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
na pendo hilo kubwa mno
huyaondoa majivuno
na kunifunza haki kweli
uongo wote niuvue
hunituliza moyo w-ngu
huruma nayo hunitia
na sote tuwe na umoja
katika pendo la mwokozi
hunituliza moyo w-ngu
huruma nayo hunitia
na sote tuwe na umoja
katika pendo la mwokozi
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako (moyo wako baba)
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
nijazwe pendo hilo kubwa
inibidiishe siku zote
rohoni niwe na juk-mu
nimtumikie bwana yesu
hazina yako nipeleke
kwa watu waliopotea
wafahamishwe pendo kubwa
ulilonalo mungu w-ngu
hazina yako nipeleke
kwa watu waliopotea
wafahamishwe pendo kubwa
ulilonalo mungu w-ngu
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
hallelujah
ni pendo kubwa
linalotoka moyo wako
ee mungu w-ngu nakuomba
nijaze pendo lako tele
(end)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...