christina shusho - adamu كلمات الأغنية
mungu alipo muumba adamu
hak_mwacha awe pekeyake
akamfanyia msaidizi wakufanana naye
nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
nakupenda(mpenzi w_ngu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe w_ngu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi w_ngu)asante
tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
mpenzi w_ngu
nakupenda(mpenzi w_ngu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe w_ngu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi w_ngu)asante
كلمات أغنية عشوائية
- forgetthat - wait a minute كلمات الأغنية
- a-dot taylor - i’m the queen كلمات الأغنية
- oll - w.t.f. كلمات الأغنية
- armnhmr & blosso - save me كلمات الأغنية
- makcem25, wise giraffe - б/у كلمات الأغنية
- maurício dts - dois neguin كلمات الأغنية
- eastman - fantastic كلمات الأغنية
- pe$o pete - splash! كلمات الأغنية
- 16volt - the last time كلمات الأغنية
- sadfacethuggin - fakesmile كلمات الأغنية