kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chris kaiga - bundas كلمات الأغنية

Loading...

tunapull up, mraia watuta
tuko juu ya nduthi na back up ya uber
madem wanakaa chun li
ma_boss chic, ki huddah
venye wana_stager ni kaa wanabanjuka
dem chuma but anadai kuchungwa
hio tena haiwezi juu tu tumeanza dunda
itabaki wametokwa kaa mlango haijafungwa
hizi bunda za faa kupigwa bundas…

najaza meza pamoja na ukuta
juu hizi bunda zinani_sumbua
leo mpaka bouncer apigwe na kichupa
juu hizi bunda zinani_sumbua

najaza meza pamoja na ukuta
kaa unanijua leo pigwa na kichupa
juu nina bunda na zangu zimerunda
juu nina bunda na zinani_sumbua…

all eyes on me kama makaveli
zikicheki_cheki mf_ko zangu heavy_heavy
hadi mwenye bar na meneja wanadai selfie
juu meza imejaa mizinga za henny
ita waiter akam, oya kam
mtu w_ngu shika glass
leo pia wewe pigwa na kichupa
keep change ukipigwa na the bundas

najaza meza pamoja na ukuta
juu hizi bunda zinani_sumbua
leo mpaka bouncer apigwe na kichupa
juu hizi bunda zinani_sumbua

najaza meza pamoja na ukuta
kaa unanijua leo pigwa na kichupa
juu nina bunda na zangu zimerunda
juu nina bunda na zinani_sumbua…

leo situpi lugha ni ma bunda zinazungumza
na magyal dem
kwa niaba ya de mandem
wananisugua kama kipande
kutoka sunset hadi mangware
na leo nawabadilisha kama ma_channel
nawai slim ting pum_pum badae
na_holla melanin na yellow ting same time
niko idhaa ya kucheza nao kimimi, one time

najaza meza pamoja na ukuta
juu hizi bunda zinani_sumbua
leo mpaka bouncer apigwe na kichupa
juu hizi bunda zinani_sumbua

najaza meza pamoja na ukuta
kaa unanijua leo pigwa na kichupa
juu nina bunda na zangu zimerunda
juu nina bunda na zinani_sumbua…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...